Singida Big Stars
Member
- Aug 31, 2022
- 14
- 27
- Thread starter
-
- #41
Na kama sio yake mbona singida ina vinasaba vya Yanga
Muhibu kanu mlishampiga chini?π²π²π²Tabitha Kidawawa
Nimeangalia mechi ya SBS mko vizuri. Shida ni sustainability yenu mzee wa tozo akipigwa chini
Muhibu kanu mlishampiga chini?π²π²π²
Amehitimu wapi wewe wakati jina lake halikuonekana kwenye list janaMuhibu Kanu amesomea ukocha na kuhitimu. Kwa sasa ni kocha mkuu wa timu yetu ya vijana.
Viongozi wote ni mashabiki wa yanga au waliwahi kuwa wachezaji wa yangaVinasaba vya Yanga ni vipi?
Upotoshaji kama huu ndio umefanya tuje na uzi maalum kuweka rekodi sawa.Mwigulu Nchemba ndio mwenye jambo lake
Timu yenu inaendeshwa na tajiri au kampuni gani kama sio dada Ester?Timu yetu haiendeshwi na Mwigulu Nchemba wala kiongozi yoyote wa serikali.
Upotoshaji kama huu ndio umefanya tuje na uzi maalum kuweka rekodi sawa.
Sawa na katika zile Yutong 60 kuna Yutong 1 moja matata sana ya team yetu SBS!.Timu yenu inaendeshwa na tajiri au kampuni gani kama sio dada Ester?