kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Mmesajili wachezaji wazuri sana pengine kwa gharama kubwa, lakini ni ukweli mtupu kuwa Kocha Van ameshazeeka na uwezo wake hauwezi kuvuka pale.
Ushauri wa bure kabisa, hebu mpeni Mwinyi Zahera timu yenu ili mpate tabasamu la thamani ya pesa. Mtachelewa sana kama mtadhani marefa wanawaonea.
Ushauri wa bure kabisa, hebu mpeni Mwinyi Zahera timu yenu ili mpate tabasamu la thamani ya pesa. Mtachelewa sana kama mtadhani marefa wanawaonea.