Wawa akiendelea kuwa kama beki wa mwisho SBS watapigika kama ngoma.
Hussein Massanza
Sana tena.Wawa alifichiwa madhaifu na ubora wa Lwanga na Onyango kipindi kile.Simba walikuwa sahihi kumtema wawa, anaonesha ubovu wake.
itakuwa vizuri sana, binafsi napenda watu wanaopenda mpira wa miguu. Wamiliki wa Singida Big Star wanaonyesha kuwa wanaupenda mpira wa miguu, hivyo hawastahili matokeo wanayoyapata.umewahi tu kuandika ila haizidi week 2 zahera anapewa singida stars