Singida Big Stars tumemsajili kipa mzawa Benedict Haule kuongeza nguvu kwenye kikosi chetu

Hussein Massanza

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
1,016
Reaction score
2,195
Watu wa Soka,

Muda mfupi uliopita tumemtambulisha Golikipa mahiri wa Klabu ya Azam (akitokea Tanzania Prisons FC kwa mkopo), Benedict Haule, kuja kuongeza nguvu kwenye kikosi chetu.

Haule atasaidiana na Metacha kuhakikisha Singida Big Stars ipo salama golini.

Tunaendelea kujipanga kuelekea Msimu ujao wa Ligi Kuu 2022/23.
 
Attachments

  • HAULE KIPA.mp4
    35.4 MB
Watu wa Soka,

Muda mfupi uliopita tumemtambulisha Golikipa mahiri wa Klabu ya Azam (akitokea Tanzania Prisons FC kwa mkopo), Benedict Haule, kuja kuongeza nguvu kwenye kikosi chetu.

Haule atasaidiana na Metacha kuhakikisha Singida Big Stars ipo salama golini.

Tunaendelea kujipanga kuelekea Msimu ujao wa Ligi Kuu 2022/23.
mbona nasikia Metacha ana mgogoro wa mkataba, mmemchukua polisi kimabavu?
 
jana nilisikia kwenye kipindi cha michezo cha redio moja kubwa hapa nchini....

Sina taarifa. Kwenye klabu pia haipo. Kwa bahati nzuri tuna mahusiano mazuri sana na klabu ya Polisi Tanzania, hivyo kama wana suala lolote tunaamini watawasiliana nasi rasmi kiofisi.
 
Watu wa Soka,

Muda mfupi uliopita tumemtambulisha Golikipa mahiri wa Klabu ya Azam (akitokea Tanzania Prisons FC kwa mkopo), Benedict Haule, kuja kuongeza nguvu kwenye kikosi chetu.

Haule atasaidiana na Metacha kuhakikisha Singida Big Stars ipo salama golini.

Tunaendelea kujipanga kuelekea Msimu ujao wa Ligi Kuu 2022/23.
Mkuu ....msimsahau kumsajili mzee BOCCO ....atawafungia goli za kutosha
 
Mungu amsaidie yule golikipa wa Mbeya kwanza Hamad Kadedi! What a goalkeeper!!!!

Hana kabisa sifa ya kwenda kucheza ligi daraja la kwanza. Ana mi clean sheet ya kutosha katika mechi zake alizocheza! Anaweza kuji position vizuri awapo golini! Hata huwezi kushangaa ukiambiwa alikuwa anamuweka benchi Metacha Mnata enzi hizo.

I wish wananchi wangemsajili kwa ajili ya kuwa back up ya Diarra na Mshery. Halafu Johora angeondoka na kwenda kutafuta changamoto mpya mahali pengine.
 
Back
Top Bottom