Hussein Massanza
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 1,016
- 2,195
mbona nasikia Metacha ana mgogoro wa mkataba, mmemchukua polisi kimabavu?Watu wa Soka,
Muda mfupi uliopita tumemtambulisha Golikipa mahiri wa Klabu ya Azam (akitokea Tanzania Prisons FC kwa mkopo), Benedict Haule, kuja kuongeza nguvu kwenye kikosi chetu.
Haule atasaidiana na Metacha kuhakikisha Singida Big Stars ipo salama golini.
Tunaendelea kujipanga kuelekea Msimu ujao wa Ligi Kuu 2022/23.
mbona nasikia Metacha ana mgogoro wa mkataba, mmemchukua polisi kimabavu?
jana nilisikia kwenye kipindi cha michezo cha redio moja kubwa hapa nchini....Taarifa hizo umezitoa wapi mkuu? Metacha ni BIG STAR kihalali.
jana nilisikia kwenye kipindi cha michezo cha redio moja kubwa hapa nchini....
OkaySina taarifa. Kwenye klabu pia haipo. Kwa bahati nzuri tuna mahusiano mazuri sana na klabu ya Polisi Tanzania, hivyo kama wana suala lolote tunaamini watawasiliana nasi rasmi kiofisi.
Okay
Mkuu ....msimsahau kumsajili mzee BOCCO ....atawafungia goli za kutoshaWatu wa Soka,