Hussein Massanza
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 1,016
- 2,195
Habari watu wa Soka
Singida Black Stars tunatarajia kufanya majaribio ya kutafuta wachezaji vijana wenye vipaji mkoani Singida watakaounda timu zetu za SBS U-20 na SBS U-17.
VIGEZO:
1. Ni lazima kijana awe mkazi wa Singida
2. Ni lazima kijana awe na umri kuanzia miaka 16 hadi 19
3. Ni lazima kijana apate Barua ya utambulisho kutoka kwa wazazi/walezi na Serikali ya Mtaa
4. Kila kijana atajigharamia chakula, nauli na malazi wakati wote wa majaribio.
ZINGATIA:
1. Zoezi hili litaratibiwa na Chama cha Soka Mkoa wa Singida (SIREFA) kwa kushirikiana na Idara ya Ufundi ya Singida Black Stars.
2. Hakuna gharama za usajili wala malipo yoyote zitakazotozwa. Majaribio ni BURE!
3. Majaribio yatafanyika kwa siku tatu kati ya Agosti 2 hadi Agosti 4 2024 kuanzia saa 3:00 asubuhi mpaka saa 11:00 jioni kwenye uwanja wa CCM LITI, Singida.
NB: Kila kijana afike na barua zake siku ya majaribio katika uwanja wa CCM LITI - Singida.