Singida Black Stars yasema imemlipa Mwenda Tsh. 140m yamtaka aripoti mazoezini

Singida Black Stars yasema imemlipa Mwenda Tsh. 140m yamtaka aripoti mazoezini

Yeye si ndiyo alianza kusema kadhulumiwa,kamwaga mboga wamemwaga ugali
Nyie wajinga kweli mlivyokua mnakubaliana mlitushirikisha Sasa hivi mmeona mmepigwa 140m na mchezaji hajawasili ndio mnaleta hapa si mlikua mnafanya Siri na hili fanyeni Siri
 
Hao Singida black star nao matapeli, ndio sababu ya Singida fountain gate kufungiwa kusajili
 
Singida wamteme huyu dogo. wa move on.

hana kiwango hicho cha kulinga ata akienda leo atakaa bench
 
Hela Zetu hizo rais wa mawe amechota kulee
Binafsi natamani sana kukifahamu chanzo halisi cha mapato cha hii timu kiasi cha kuweza kusajili wachezaji kwa bilions of money!! Je, ni wadhamini wa Ligi kuu mfano Azam, au kuna mchezo unaendelea nyuma ya pazia?
 
Utajua siku Mwigulu akitoka nafasi ya Uwaziri
 
Mngemchukua kibwana msingekuwa mnalia anyway nafasi ya 2,3&4 ziko wazi msimu mkiweka bidii mnaandika historia
1.Yanga
2.Yeyote
3.Yeyote
4.Yeyote
 
Taarifa inachanganya kdg...malipo toka Singida kwenda kwa Mwenda binafs yanaitwa ada?

Je mwenda ameuzwa? au ameondoka akiwa kama mchezaji huru.

Kama ameuzwa, Simba imepataje mgawo wake...

Sidhani kama kuna mchezaji anaweza kutanguliziwa 140 m na asusie kuanza training...

Me nafikiri, malipo ya 140 m hayajaenda kwa mchezaji direct...yatakuwa yamelipwa Simba ambao walikuwa wana haki nae..na kwamba Israel chake anatakiwa akikute Simba Sc kimesha songeshwa...mpira wetu una uhuni bado.
 
Back
Top Bottom