Taarifa inachanganya kdg...malipo toka Singida kwenda kwa Mwenda binafs yanaitwa ada?
Je mwenda ameuzwa? au ameondoka akiwa kama mchezaji huru.
Kama ameuzwa, Simba imepataje mgawo wake...
Sidhani kama kuna mchezaji anaweza kutanguliziwa 140 m na asusie kuanza training...
Me nafikiri, malipo ya 140 m hayajaenda kwa mchezaji direct...yatakuwa yamelipwa Simba ambao walikuwa wana haki nae..na kwamba Israel chake anatakiwa akikute Simba Sc kimesha songeshwa...mpira wetu una uhuni bado.