Singida BS Vs Coast Union: Mechi imechezeshwa na refa mbovu kuliko marefa wote nchini

Bila bila

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2016
Posts
22,168
Reaction score
39,118
Hata championship Hakuna refa wa kiwango cha ovyo kama huyu. Kabla ya Mechi hii Nilikuwa naamini huyu refa ni dhaifu, lakini aliyoyafanya Leo nimejiridhisha ni refa wa ovyo kabisa nchini.

1.Penalti waliyopewa SBS haiwezi kutolewa hata na refa wa ligi ya wilaya mwenye utimamu.

2.Faulo iliyopelekea pigo dogo na kisha kuzaa penati imetokana na maamuzi binafsi ya refa kwamba mchezaji wa Coast kaunawa mpira karibu na goli lake, lakini hata bila maridio ya video mkono wa binadamu unawezaje kufika kwenye kigimbi cha mguu huku mchezaji Huyo akiwa hajainama?

3.Mchezaji wa Coast Majimengi Kakwatuliwa Kwa nyuma akiwa amebaki yeye na kipa wa SBS cha kishangaza kapewa Kadi ya njano.

Hili nalo linasubiri Kamati ya Waamuzi ipelekewe malalamiko na TFF?
 
Huu mzunguko wa kwanza nimeshuhudia Coastal union wakiumia mara nyingi na maamuzi tata sijui ni kwa bahati mbaya au kuna namna fulani
 
Coastal Union anashinda ugenini kwa goli 2 kwa 1, baada ya kukubali kufungwa na kaka yake kwenye uwanja wake wa nyumbani (Mkwakwani Tanga)

Angeshinda Yanga kwenye hii mechi, tungeambiwa SBS wameuza mechi! Match fixing! Match fixed! nK. Ila kwa sababu aliyeshinda ni Coastal Union, hutasikia kelele kutoka kwa wale jamaa wenye midomo mirefu.
 
Maandalizi ya kumleta mwali ni ukataji mzuri wa kachumbari.
Hata kama umekula hela ya watu tafuta namna nzuri ya kuwapa mteremko, siyo kama hii. Sitaki kabisa kutuhumu rushwa maana najua marefa wa Tanzania karibu wote ni WABOVU.
 
😂😂😂😂Hayo maoni yako walioweza kuyatekeleza ni Ihefu pekee.
 
Coastal Union anashinda ugenini kwa goli 2 kwa 1, baada ya kukubali kufungwa na kaka yake kwenye uwanja wake wa nyumbani (Mkwakwani Tanga)

Angeshinda Yanga kwenye hii mechi, tungeambiwa SBS wameuza mechi! Match fixing! Match fixed! nK. Ila kwa sababu aliyeshinda ni Coastal Union, hutasikia kelele kutoka kwa wale jamaa wenye midomo mirefu.
Wewe nae hunaga comment bila kuiweka Simba?? Unapoteza credibility mtani...hii ni mechi ya coastal na sbs... 😀 😀 😀 😀
 
Tutaendelea kushangilia Moroko, Senegal, Ghana na wengine kwa ujinga huu. Yaani refa anaonyesha upendeleo wa wazi kabisa.
Wachezaji wa sbs walikuwa wanacheza rafu anapeta, lakini wachezaji wa sbs wakiguswa tu faulu.
Penalt aliitoa kuhalalisha pesa aliyochukua.
 
Pia tusisahau kumuongelea kipa metacha kwa magoli anayofungwa huyu kipa ni wa kawaida sana sana
 
Coastal Union anashinda ugenini kwa goli 2 kwa 1, baada ya kukubali kufungwa na kaka yake kwenye uwanja wake wa nyumbani (Mkwakwani Tanga)

Angeshinda Yanga kwenye hii mechi, tungeambiwa SBS wameuza mechi! Match fixing! Match fixed! nK. Ila kwa sababu aliyeshinda ni Coastal Union, hutasikia kelele kutoka kwa wale jamaa wenye midomo mirefu.
Hakuna jipya kwa wanunua mechi,unaweza kusema yote,ila tunajua mnatumia yale mapesa ya kujichotea Benki kwenye viroba.

JamiiForums mobile app
 
Ukitaka watu wakomenti utakavyo unajionesha ulivyo shambenga.
Umealikwa? Kumbe Genta huwa yuko sahihi na maneno yake ya Shombo? Kama una mada tofauti kwa nini usianzishe mada yako au umezuiwa? Na kama hujui kuanzisha mada muulize Scars atakuelewesha.
 
Tumia huo uji uliobeba kwenye hilo boga unaloliita mbichwa vizuri.Ukianzisha vijisentensi unavyoviita uzi hapa JF si kwamba unamiliki.Mfuate huyo mumeo akufundishe ujingaujinga.Stew-pad!
 
Coastal Union anashinda ugenini kwa goli 2 kwa 1, baada ya kukubali kufungwa na kaka yake kwenye uwanja wake wa nyumbani (Mkwakwani Tanga)

Angeshinda Yanga kwenye hii mechi, tungeambiwa SBS wameuza mechi! Match fixing! Match fixed! nK. Ila kwa sababu aliyeshinda ni Coastal Union, hutasikia kelele kutoka kwa wale jamaa wenye midomo mirefu.
Kama imekuuma kunya boga[emoji23]

Nyie mlivyopewa migoli ya bure na SBS na Nahimana wa Namungo mliona fresh!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hii ndio bongo.
Enjoy soccer
 
Kwa hiyo huyo Nahimana amepokea bahasha ya GSM! Au wadogo zenu wameamua kuwasaliti, na hivyo kuuza mechi kwa wananchi?
 
Coastal Union anashinda ugenini kwa goli 2 kwa 1, baada ya kukubali kufungwa na kaka yake kwenye uwanja wake wa nyumbani (Mkwakwani Tanga)

Angeshinda Yanga kwenye hii mechi, tungeambiwa SBS wameuza mechi! Match fixing! Match fixed! nK. Ila kwa sababu aliyeshinda ni Coastal Union, hutasikia kelele kutoka kwa wale jamaa wenye midomo mirefu.
Coast hii yenye udhanini wa gsm ndio ndugu na simba? Najua ushaelewa ninachomaanisha
 
Hata championship Hakuna refa wa kiwango cha ovyo kama huyu. Kabla ya Mechi hii Nilikuwa naamini huyu refa ni dhaifu, lakini aliyoyafanya Leo nimejiridhisha ni refa wa ovyo kabisa nchini.

1.Penalti waliyopewa SBS haiwezi kutolewa hata na refa wa ligi ya wilaya mwenye utimamu.

2.Faulo iliyopelekea pigo dogo na kisha kuzaa penati imetokana na maamuzi binafsi ya refa kwamba mchezaji wa Coast kaunawa mpira karibu na goli lake, lakini hata bila maridio ya video mkono wa binadamu unawezaje kufika kwenye kigimbi cha mguu huku mchezaji Huyo akiwa hajainama?

3.Mchezaji wa Coast Majimengi Kakwatuliwa Kwa nyuma akiwa amebaki yeye na kipa wa SBS cha kishangaza kapewa Kadi ya njano.

Hili nalo linasubiri Kamati ya Waamuzi ipelekewe malalamiko na TFF?
Singida big stars inamilikiwa na mkurugenzi mkuu wa Tozo na shabiki na mwanachama hai wa Mihogo Netball club ya pale Jangwani Bwawani kwenye manyani wengi wanaopenda kuwekwa mwiko nyuma.
GENTAMYCIME , my fellow tablet anaweza kukufanulia zaidi kama hujanielewa...
 
Back
Top Bottom