Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Hata championship Hakuna refa wa kiwango cha ovyo kama huyu. Kabla ya Mechi hii Nilikuwa naamini huyu refa ni dhaifu, lakini aliyoyafanya Leo nimejiridhisha ni refa wa ovyo kabisa nchini.
1.Penalti waliyopewa SBS haiwezi kutolewa hata na refa wa ligi ya wilaya mwenye utimamu.
2.Faulo iliyopelekea pigo dogo na kisha kuzaa penati imetokana na maamuzi binafsi ya refa kwamba mchezaji wa Coast kaunawa mpira karibu na goli lake, lakini hata bila maridio ya video mkono wa binadamu unawezaje kufika kwenye kigimbi cha mguu huku mchezaji Huyo akiwa hajainama?
3.Mchezaji wa Coast Majimengi Kakwatuliwa Kwa nyuma akiwa amebaki yeye na kipa wa SBS cha kishangaza kapewa Kadi ya njano.
Hili nalo linasubiri Kamati ya Waamuzi ipelekewe malalamiko na TFF?