Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Aisee natazama hii mechi ya Singida BS vs Yanga nashangaa kweli
Singida hawataki kushambulia Yanga halafu wanaruhusu mashambulizi mengi kiasi kuwa dakika ya 20 pekee wamesharuhusu magoli 2 uwanja wao wa nyumbani
Yaani Singida ambayo ni timu ya 3 kwa ubora ligi kuu, ikiwa imezizidi kwa ubora Azam na Geita Gold, ambazo Yanga inazifunga kwa tabu, leo inafungwa goli mbili ndani ya dakika 20 na 5 shots on target?
Hii Singida ndio ile tuijuayo?