Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Ndo yenyewe,na nusu fainali kombe la FA watacheza hivi hiviAisee natazama hii mechi ya Singida BS vs Yanga nashangaa kweli
Singida hawataki kushambulia Yanga halafu wanaruhusu mashambulizi mengi kiasi kuwa dakika ya 20 pekee wamesharuhusu magoli 2 uwanja wao wa nyumbani
Hii Singida ndio ile tuijuayo?
AahaaaaKuna timu Simba alizipiga saba, zingine tano..
hizo game zilikuwa fixed????
😃😃Kwahiyo simba alipomfunga yanga bao 2 dk30 ilikuwa fixed na yenyewe
Hawaamini macho yaoWazee wa kufa kiume
Yanga timu nyingine anazifunga kwa tabu sana, mfano Geita Gold na Azam ambazo Singida amezizidi kwa uwezo, lakini hawafungwi kizembe na Yanga kama SingidaUkikutana na Yanga ya Sasa lazima ionekane hujui usiwalaumu Singida hadi Yanga anaongoza ligi hajaifunga Singida peke yake
Zero shot on target kwa Wydad ilikua fixed?Aisee natazama hii mechi ya Singida BS vs Yanga nashangaa kweli
Singida hawataki kushambulia Yanga halafu wanaruhusu mashambulizi mengi kiasi kuwa dakika ya 20 pekee wamesharuhusu magoli 2 uwanja wao wa nyumbani
Hii Singida ndio ile tuijuayo?
Mpaka dk ya 20 tayar walishakula chuma 5 kutoka kwa NewcastleTotenham waliruhusu goli 5 ndani ya dk 30.
Tatzo ni wivu mnataka Yanga awafunge nyie tuYanga timu nyingine anazifunga kwa tabu sana, mfano Geita Gold na Azam ambazo Singida amezizidi kwa uwezo, lakini hawafungwi kizembe na Yanga kama Singida