Tafuteni kazi za kufanya, kubet ni starehe siyo ajira.Mpaka sasa ni dk ya 52 mashindano ya shirikisho vs jku ya Zanzibar.
Hawa singida TOFAUTI Yao na mbagala market ni udhamini WA sportpesa tu. Kiufupi hawana jipya zaidi ya promo na kukamia mechi ya Simba tu .ila kwa yanga wanakuwa mdebwedo kama walivyo Leo hapa dimba la Azam complex.
Ila boli linatembea siyo jku wala singida bull shit. Kwa pirà hili la jku/sbs, Simba ikitia mguu anapigwa mkono.Mpaka sasa ni dk ya 52 mashindano ya shirikisho vs jku ya Zanzibar.
Hawa singida TOFAUTI Yao na mbagala market ni udhamini WA sportpesa tu. Kiufupi hawana jipya zaidi ya promo na kukamia mechi ya Simba tu .ila kwa yanga wanakuwa mdebwedo kama walivyo Leo hapa dimba la Azam complex.
Ikiwa 4-4 singida outChizi huyo
Aggregate ni 4-3
Pole sana Mkuu, Inaonekana mkeka unaelekea kuchana. Maana umeandika kwa uchungu sana.Mpaka sasa ni dk ya 52 mashindano ya shirikisho vs jku ya Zanzibar.
Hawa singida TOFAUTI Yao na mbagala market ni udhamini WA sportpesa tu. Kiufupi hawana jipya zaidi ya promo na kukamia mechi ya Simba tu .ila kwa yanga wanakuwa mdebwedo kama walivyo Leo hapa dimba la Azam complex.
Out vipi wakati Singida alishinda 4-1 ugenini??Ikiwa 4-4 singida out
Unajua mechi ya Leo mwenyeji ni nani? Ile mechi ya 4-1 mwenyeji alikua Singida. Mechi ya Leo JKU ndio yupo nyumbaniOut vipi wakati Singida alishinda 4-1 ugenini??
Kweli dugu yangu una mawazo ya kukosa kazi muda mrefu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa dada maana kwenye ngao ya jamii hao singida wahawakuwepo si ndio?Ila boli linatembea siyo jku wala singida bull shit. Kwa pirà hili la jku/sbs, Simba ikitia mguu anapigwa mkono.