Singida Fountain Gate ni timu ya ovyo. ISHAKULA MBILI MTUNGI MPAKA SASA

je parle

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2018
Posts
2,022
Reaction score
3,919
Mpaka sasa ni dk ya 52 mashindano ya shirikisho vs jku ya Zanzibar.

Hawa singida TOFAUTI Yao na mbagala market ni udhamini WA sportpesa tu. Kiufupi hawana jipya zaidi ya promo na kukamia mechi ya Simba tu .ila kwa yanga wanakuwa mdebwedo kama walivyo Leo hapa dimba la Azam complex.
 
Tafuteni kazi za kufanya, kubet ni starehe siyo ajira.

Ona sasa mkeka umechanika umekuwa kama kichaa.
 
Mpaka sasa ni dk ya 52 mashindano ya shirikisho vs jku ya Zanzibar.

Hawa singida TOFAUTI Yao na mbagala market ni udhamini WA sportpesa tu. Kiufupi hawana jipya zaidi ya promo na kukamia mechi ya Simba tu .ila kwa yanga wanakuwa mdebwedo kama walivyo Leo hapa dimba la Azam complex.
Ila boli linatembea siyo jku wala singida bull shit. Kwa pirà hili la jku/sbs, Simba ikitia mguu anapigwa mkono.
 
Pole sana Mkuu, Inaonekana mkeka unaelekea kuchana. Maana umeandika kwa uchungu sana.
 
Out vipi wakati Singida alishinda 4-1 ugenini??
Kweli dugu yangu una mawazo ya kukosa kazi muda mrefu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unajua mechi ya Leo mwenyeji ni nani? Ile mechi ya 4-1 mwenyeji alikua Singida. Mechi ya Leo JKU ndio yupo nyumbani
 
Timu ni Simba na Yanga tu.....hizo Azam, Singida zote ni kutiana aibu tu.
 
Azam na singinda ni ndugu

Nilishangaa nilipowaona wanapeleka full kikosi mapinduzi cup na hawakuambulia chochote
 
Ila boli linatembea siyo jku wala singida bull shit. Kwa pirà hili la jku/sbs, Simba ikitia mguu anapigwa mkono.
Sawa dada maana kwenye ngao ya jamii hao singida wahawakuwepo si ndio?
 
Back
Top Bottom