Soloma TV Online
Senior Member
- Jun 26, 2023
- 104
- 291
Timu ya soka ya Singida Fountaingate ya mkoani Singida imelichagua Jiji la Arusha kuwa sehemu yao ya maandalizi ya Msimu mpya wa ligi kuu ya #NBCPreamierLeague Tanzania pamoja na Michuano ya Kombe la SHIRIKISHO barani Afrika.
Mandhari na Hali ya hewa ya Jiji la Arusha imewasukuma kupiga kambi huko kwa kuwa inafanana sana na baadhi ya nchi za Ulaya na nchi nyingine za Afrika, hivyo hawajaona sababu ya kutoka nje ya nchi.
Mandhari na Hali ya hewa ya Jiji la Arusha imewasukuma kupiga kambi huko kwa kuwa inafanana sana na baadhi ya nchi za Ulaya na nchi nyingine za Afrika, hivyo hawajaona sababu ya kutoka nje ya nchi.