Singida: Hospitali ya Makiungu yapeperusha bendera inayohusishwa na LGBTIQA+

figganigga

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
25,724
Reaction score
55,906
Hospitali ya Makiungu yapeperusha bendera inayodaiwa ni LGBTIQA+.

Je, ni mwongozo wa Serikali kufanya hivyo? Kwanini waziri wa afya kakaa kimya?

Je, ni Mashariti ya kujengewa Hospital?

Nini maoni yako msomaji.

=====

UPDATES :

Bendera imeondolewa
IMG-20230305-WA0003.jpg
 
Anaye elewa vizuri kuhusu hao LGBTIQA anieleweshe vizuri nielewe, official rangi yao ni ipi? Na official bendera yao ni ipi? Maana sasa kila kitu cha rangirangi kinahusishwa na hao, na nilikuwa na mashati yangu ya batiki ya kutimbia kanisani na kwenye interview za serikali, na hata niliyagawa kwa kuhofia kutangaza ajenda za watu.
 
Kumekuchaaaaaaah
[emoji2380][emoji2380][emoji2380][emoji626][emoji626]

Inapepea hapo Makiunguu. Hayaa wapingaji uchwaraaa tokeni kupinga au mkashushe bendera pale, km kweli mko serious.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mtabaki kulia kwaa Keyboard, na badooo mnavojifanyaa kupiga kelelee, ndo na wao wanazidi kuwaonesha hadharani.

Mwenye nguvu ndo atajulikana sasa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Halllah [emoji2380][emoji2380][emoji2380][emoji2380][emoji2380][emoji2380][emoji2380]
PEACE [emoji2380][emoji2380][emoji2380][emoji2380][emoji2380][emoji2380][emoji2380]
4 life forever [emoji2380][emoji2380][emoji2380][emoji2380][emoji2380][emoji2380][emoji2380]
 
Bendera yenye rangi nyingi.. sijui zipo ngapi.
 
Umeamua kabisa kujitokeza hadharani,
hongereni kwa hilo nyie ma. ...
 
Back
Top Bottom