Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katiba yetu inapinga ushoga lakini lisu anauteteaSi jamaa.
Katiba ndio inasema hivyo.
Ukishakula pesa yao huwezi kuwakwepa.Najiuliza, hivi haliwezekani mabendera yao tukayaweka, >>ili kuchukuwa fedha zao lakini tukasimamia maadili yetu?<</ya kitanzania kwamba jambo hili ni NO kwa tanzania.
Na wewe simama na hoja yako uliyoanzisha...acha kurukaruka!Wapi nimesema ni bendera ya LGBTQA+?
Umemaliza kila kitu..According to wikipedia;
The most common recent design is a rainbow flag representing peace, first used in Italy at a peace march in 1961. The flag was inspired by similar multi-coloured flags used in demonstrations against nuclear weapons. A previous version had featured a dove drawn by Pablo Picasso.[13]
The most common variety has seven colours—purple, blue, azure, green, yellow, orange, and red—and is emblazoned in bold with the Italian word PACE, meaning "peace".
It became popular with the Pace da tutti i balconi ("peace from every balcony") campaign in 2002, started as a protest against the impending invasion of Iraq. At that time its use was met with criticism from the Italian LGBT community for being too similar to the LGBT six-color gay pride flag (which was originally created in San Francisco California in 1979) and had started being used regularly in Italy a couple of years earlier during the 2000 inaugural WorldPride celebration in Rome.[14] The flag was flown from balconies in all Italian cities by citizens against the war. Its use spread to other countries too, and the Italian Pace was sometimes, but not everywhere, replaced with the corresponding translation in the local languages.
According to Amnesty International, producer Franco Belsito had produced about 1,000 flags per year for 18 years, and suddenly had to cope with a demand in the range of the millions.[15]
Common variations include moving the purple stripe down below the azure one, and adding a white stripe on top.
The seven-color peace flag is not to be confused with the similar six-color gay pride flag, which does not have azure, and has the colors in the opposite order with red at the top.
Hawa wanacheza na akili za watu tu, ISSUE NI ILE ILE TU. UKISHAIZOEA HII IMETOKA IYOOO!Hiyo bendera iangalie vizuri.
Kama rangi nyekundu ndio iko juu Basi Ni ya LGBTQ.
Kama rangi nyekundu iko chini Basi hiyo Ni bendera ya amani. Peace. Hiyo hapo Ni ya amani.
Kwa hiyo hakuna ulipoandika "inayodaiwa kuwa ni ya LGBTIQA+?"Wapi nimesema ni bendera ya LGBTQA+?
Nitumie location nakuja fasta kuishusha kama mbwaimbwai tuKumekuchaaaaaaah
[emoji2380][emoji2380][emoji2380][emoji626][emoji626]
Inapepea hapo Makiunguu. Hayaa wapingaji uchwaraaa tokeni kupinga au mkashushe bendera pale, km kweli mko serious.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mtabaki kulia kwaa Keyboard, na badooo mnavojifanyaa kupiga kelelee, ndo na wao wanazidi kuwaonesha hadharani.
Mwenye nguvu ndo atajulikana sasa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Halllah [emoji2380][emoji2380][emoji2380][emoji2380][emoji2380][emoji2380][emoji2380]
PEACE [emoji2380][emoji2380][emoji2380][emoji2380][emoji2380][emoji2380][emoji2380]
4 life forever [emoji2380][emoji2380][emoji2380][emoji2380][emoji2380][emoji2380][emoji2380]
Akina Musa Asadi waende sasa wakaishushe😅😅Hospitali ya Makiungu yapeperusha bendera inayodaiwa ni LGBTIQA+.
Je, ni mwongozo wa Serikali kufanya hivyo? Kwanini waziri wa afya kakaa kimya?
Je, ni Mashariti ya kujengewa Hospital?
Nini maoni yako msomaji.
View attachment 2537492
Rainbow google utapata zoteBendera yenye rangi nyingi.. sijui zipo ngapi.
Ni kwenye Jimbo la Nani hapa?Hospitali ya Makiungu yapeperusha bendera inayodaiwa ni LGBTIQA+.
Je, ni mwongozo wa Serikali kufanya hivyo? Kwanini waziri wa afya kakaa kimya?
Je, ni Mashariti ya kujengewa Hospital?
Nini maoni yako msomaji.
View attachment 2537492