Singida: Hospitali ya Makiungu yapeperusha bendera inayohusishwa na LGBTIQA+

Masikini hospitali ya watu, misaada kwenye nchi masikini ni shida tupu, hiyo ni bendera tofauti kabisa, mbumbumbu wa bongo wamerukia tu mada na kuanza kushambulia. Hiyo ni bendera ya amani inatumika toka 1961, ilianza kutumika italia.
 
Yatakuwa ni masharti ya msaada wa majengo ya hospital, ndo hivyo tena, mtu unashida.., unakubali tu hivyo hivyo
 
Waislam hawahawa !!?
 
Sasa si upside down tu, rangi ya peace ni white
Bendera ya Peace yenye raibow colors ilishaanza kutumika tangu 1913 huko. Wakati gays and lesbians wenyewe wakaja kuanza kuitumia mwaka 1979.
Mwanzoni mwa miaka ya 2000 walofanya maandamano makubwa kupinga rangi hizo kutumika kwenye mambo ya amani wakidai ni rangi yao na kudai kuitumia kama bendera ya ambani ni mbinu ya kufifisha utambulisho wao na jitihada zao.

Wakagonga Mwamba baada ya kuja kujua kuwa hiyo bendera ilishaanza kutumika kabla wao hawajakengeuka na kuanza kuwashwa.

Dasa sijui wakiamua kutumia rangi za bendera ya Tanzania itabidi tuachane na rangi hizo au vipi?
 
Bora imeondolewa ,kama wanataka peace waweke bendera ambayo haifungamani na huo ushenzi wa magharibi.
 
Hospitali ya Makiungu yapeperusha bendera inayodaiwa ni LGBTIQA+.

Je, ni mwongozo wa Serikali kufanya hivyo? Kwanini waziri wa afya kakaa kimya?

Je, ni Mashariti ya kujengewa Hospital?

Nini maoni yako msomaji.
View attachment 2537492
Hii wamepeperusha wakiwa wanajua wazi inasupport ushoga. Bila shaka wamiliki wa hospitali hii ni members wa gay ajenda
 
kuna mjamaa kutoka.singida alisema tusiingilie privacy za watu za chumbani.
Alichokiongea Lisu wanaelewa wenye akili tu siyo mtu kama wewe

Lisu mtu smart sana
Jibu alilojibu ni jibu na nusu na namkubali katika maamuzi ya hapo kwa hapo nafikiri ndiyo maana hata waliweza kuescape kwenye tukio la risasi

Magufuli anamfahamu vizuri katika kampeni na visa vyake lakini mbadala ulikuwa ukipatikana kwa kila changamoto iliyojitokeza
 
Hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…