Singida: Hospitali ya Makiungu yapeperusha bendera inayohusishwa na LGBTIQA+

Hiyo ishafunguliwa uzi humu,na wenzio walileta video kabisa. Lakini wajuzi wanasema hiyo ni bendera ya PEACE iko tofauti na ile ya jamaa wengine kwa kuwa hiyo ina strips saba na rangi zake zimegeuzwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…