ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,030
- 61,298
rafiki viogozi wapo tena wengi sana tatizo ni mfumo wa utekelezaji. Mfano fatilia mchoro ya miradi mikubwa ya serikali halafu fatilia tena baada ya mradi, ramani na ubora kama vinaendana.Upo sahihi.Serikali imepafanya Singida kama mbuga ya wanyama iliyopo porini tu.Hapo ni aidha upite na ukiiangalia kwa mbali au ukae siku mbili na kurudi mjini.Kila mji haukosi potentialities lakini viongozi wenye maono wako wapi!?
imagine soko la kimataifa la vitunguu wanataka kujenga kititimo huko wakati mwenge pale pako vzr sana yaani wanatanua mji ambao bado haujajaa..pale mwenge badala ya shule ilitakiwa iwe kitovu cha mji,,soko kuu hata bhalmshauri japo imejengewa karakana sio mbali na mji ila ilipaswa iwe mwenge ..hata stand mpya bado ingejengewa mwenge pale ingekuwa poa sana..hio shule ya advance ingehamishiwa hata mungumaji hukoUpo sahihi.Serikali imepafanya Singida kama mbuga ya wanyama iliyopo porini tu.Hapo ni aidha upite na ukiiangalia kwa mbali au ukae siku mbili na kurudi mjini.Kila mji haukosi potentialities lakini viongozi wenye maono wako wapi!?
dodoma hakuna cha kuvutia pale ilipaswa bunge libaki dodoma ila mawizara yote yakajengwe singida..maana ndo nnjiapanda ya arusha,mwanza ,mbeya,dodoma...uko sahihi broSingida ilipaswa iwe makao makuu ya nchi
na pale pana hela ukiona wachaga hawaondoki kwenye mji ambao sio wao jua kuna pesa..kwanini wachaga huwakuti manyara,lindi au kigoma ni kwa sababu washaona hakuna mzungukoUpo sahihi.Serikali imepafanya Singida kama mbuga ya wanyama iliyopo porini tu.Hapo ni aidha upite na ukiiangalia kwa mbali au ukae siku mbili na kurudi mjini.Kila mji haukosi potentialities lakini viongozi wenye maono wako wapi!?
Manyara?na pale pana hela ukiona wachaga hawaondoki kwenye mji ambao sio wao jua kuna pesa..kwanini wachaga huwakuti manyara,lindi au kigoma ni kwa sababu washaona hakuna mzunguko
manyara kuna hela ila hakuna mzunguko mkubwa kama singidaManyara?
Wanapenda kukaa na pesa zao wapige nazo picha.manyara kuna hela ila hakuna mzunguko mkubwa kama singida
Kama kuna hela , huo mzunguko ni kitu gani?manyara kuna hela ila hakuna mzunguko mkubwa kama singida
yeah wewe umenielewa vizuriWanapenda kukaa na pesa zao wapige nazo picha.
Kuna watu kwa mionekano au uhalisia ukatambua kabisa wana ukwasi lakini hawaziweki kwenye mizunguko zifike kwa wengine na kuzalisha zaidi.Wanazo keki na wanatamani kuzila na hapohapo wanataka zibaki wazitazame zikiwa nzima.Kama kuna hela , huo mzunguko ni kitu gani?
ni kamji fulani kazuri sana na hata ukituliza akili unatajirika kwa sababu vijiji vingi vinategemea kufunga mzigo mjini so pale town ndo maana kina mangi hawataki kuondoka wanyaturu tumebaki tunashangaa shangaaNi mji wa kuvutia na kuonekana wote katika angle moja ukipiga picha pande zote za dunia unauona mji wote. Katikati ya mji panaboreshwa kwa kujengwa majengo mapya ya kisasa.
Labda kama wewe ni mwenyeji wa singida na unavutia kwenu , lakini Singida kuizidi manyara labda kwenye idadi ya punda tuKuna watu kwa mionekano au uhalisia ukatambua kabisa wana ukwasi lakini hawaziweki kwenye mizunguko zifike kwa wengine na kuzalisha zaidi.Wanazo keki na wanatamani kuzila na hapohapo wanataka zibaki wazitazame zikiwa nzima.
unajua nini kinafanya singida pawe na mzunguko mkubwa tarafa nyingi za sindiga DC zinategemea kufanya manunuzi ya jumla singida mjini na wao pia wana jitosheleza kwa vyakula kuleta singida mjini tofauti na manyara miji yako iko mbali na babati mingine inakwenda karibu na mkoa wa arushaKama kuna hela , huo mzunguko ni kitu gani?
Sawa.Labda kama wewe ni mwenyeji wa singida na unavutia kwenu , lakini Singida kuizidi manyara labda kwenye idadi ya punda tu