Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Mkoa wa Singida upo kanda ya kati, ukipakana na mikoa ya Manyara upande wa kaskazini, Dodoma mashariki, Iringa na Mbeya kusini, Tabora upande wa magharibi na Shinyanga. Mkoa wa Singida una ukubwa wa takriban kilomita za mraba 43000.
Singida Kuna wilaya saba nazo ni Iramba, Manyoni, Singida Vijijini na Singida Mjini, Ikungi, Itigi na Mkalama.
SOMA PIA
Idadi ya Watu
Kulingana na Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022, Mkoa wa Singida una jumla ya watu 2,008,058, ambapo wanaume ni 995,703 na wanawake ni 1,012,355 na una jumla ya Wilaya 7.
Mkoa wa Singida una jumla ya Majimbo 8 ya kiuchaguzi yaliyogawanyika katika wilaya 6, Majimbo hayo ni:
- Iramba Magharibi
- Singida Kaskazini
- Singida Mjini
- Manyoni Mashariki
- Manyoni Mgharibi
- Singida Magharibi
- Singida Mashariki
- Iramba Mashariki
Hali ya Kisiasa Mkoani Singida kufuatia uchaguzi Mkuu uliopita, 2020
Uchaguzi Mkuu 2020 CCM ilishinda nafasi zote za ubunge ndani ya Mkoa wa Singida. Katika maeneo mengi, wagombea wa CCM walipita bila kupingwa kutokana na vyama vya upinzani, kama CHADEMA, kujiondoa kwa sababu ya kile walichoeleza kuwa ni mazingira yasiyo ya haki kwenye mchakato wa uchaguzi na wengine kudaiwa hawakujaza vizuri fomu zao ivyo kujikuta fomu zao zikikataliwa.
Kwa upande wa Nafasi ya Urais CCM ilishinda nafasi hiyo kupitia Mgombe wake Hayati John Pombe Magufuli ambaye alishika nafasi hiyo mpaka mwaka 2021 ambapo Alifariki Dunia na kisha nafasi ya Urais kushikwa na aliyekuwa Makamu, Rais Samia Suluhu Hassan.
Soma Pia:
February
- Dkt. Nchimbi achangisha Tsh. Bilioni 1.7 ujenzi Ofisi ya CCM mkoa wa Singida
- Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama, Singida yakabidhi mikopo ya Sh. milioni 395 kwa vikundi vya wanawake,vijana na watu wenye ulemavu
- Halmashauri Singida waidai ahadi ya Dkt. Nchimbi kuwajengea soko la vituguu
- Pre GE2025 - Mdude Nyagali aibukia Ikungi akutana na Tundu Lissu
- Pre GE2025 - Tundu Lissu: Kama CCM hawataki kuleta mageuzi kwa hiyari wataleta mageuzi kwa shuruti. Tujiandae kuzuia Uchaguzi
- Pre GE2025 - Baada ya mahojiano ya kumchafua Lissu kugoma Generation Samia wafanya matembezi Singida kumshukuru Samia kwa fursa za uchumi!
- Pre GE2025 - EFM wanalipwa kueneza chuki dhidi ya wapinzani? Wananchi Ikungi wapewa script waseme wanamchukia Lissu
- Pre GE2025 - Baadhi ya Wakazi Ikungi kupinga No Reform, No Election; Je, wametumwa sababu ya ujio wa Lissu Singida?
- Pre GE2025 - Mwenyekiti CHADEMA, Singida: Maandalizi ya kumpokea Lissu yameiva, Ng'ombe zaidi ya 15 waandaliwa kusherehekea ushindi wake
- Pre GE2025 - Mjumbe Kamati Kuu CHADEMA, Mayemba: Viongozi wa Dini kemeeni dhambi zote ikiwemo Ufisadi
- Pre GE2025 - Tundu Lissu: Kuhusu jinsi gani tutazuia Uchaguzi kila mtu ajiongeze. Hivi wote tukilala barabarani watatuua wangapi?
- Pre GE2025 - Mwenyekiti wa BAVICHA: Uchaguzi umekuwa ni bomba la kuua vijana, hatutaruhusu Uchaguzi ufanyike
- Pre GE2025 - Video: Wazee wa kimila Singida wamteua Tundu Lissu kuwa shujaa wa Kinyaturu. Wamvika nguo za kimila ikiwemo kaniki na ngao
- Pre GE2025 - Ummy Mwalimu awahimiza wakazi wa Tanga kwenda kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la mpiga kura
- Pre GE2025 - Tundu Lissu: Kama ni kufa niko tayari kufa. Nishawahi kuchungulia huko nikarudi na sasa naendelea
- Pre GE2025 - Tundu Lissu: Kama CCM hawataki kuleta mageuzi kwa hiyari wataleta mageuzi kwa shuruti. Tujiandae kuzuia Uchaguzi
- Pre GE2025 - John Heche: Mbunge analipwa Milioni 20 kwa mwezi na posho ya laki 6 kwa siku. Nchi hii inaibiwa sana!
- Pre GE2025 - Mbunge Jesca Kishoa (CHADEMA) anyemelea ubunge Mkalama, avaa sare za CCM na kumwaga misaada jimboni. Amsifia Rais Samia
- Mbunge wa Viti Maalumu CCM Jesca Kishoa: Kuna kiongozi alinishauri nisisaidie wananchi, alitaka nihonge wajumbe ili nishinde Uchaguzi
- Serikali imejenga Chumba cha kuhifadhia maiti hospitali ya wilaya Ikungi
- Pre GE2025 - Serikali imejenga Chumba cha kuhifadhia maiti hospitali ya wilaya Ikungi
- Pre GE2025 - Mbunge Nusrat Hanje ameandaa ibada na dua kumuombea Rais na Uchaguzi
- Pre GE2025 - Mbunge wa Covid 19, Nusrat Hanje atangaza kugombea jimbo la zamani la Tundu Lissu, Singida Mashariki
- Pre GE2025 - Singida: Jesca Kishoa atumia wanafunzi kupitisha ajenda zake kugombea Ubunge
- Pre GE2025 - Singida kusherehekea siku ya wanawake duniani kwa kugawa mitungi ya gesi
- Pre GE2025 - Manispaa ya Singida yaadhimisha siku ya Wanawake kwa bonanza na ugawaji gesi
- Singida: Mitungi zaidi ya 29,000 yatolewa kwa bei nafuu
- Pre GE2025 - Wananchi wafanyishwa sherehe ya kukamilika ujenzi wa kituo cha afya, ni ajenda ya kumpigia kampeni Rais Samia