Singida: Mkurugenzi wa NIRC, Raymond Mndolwa akimuonesha Waziri Dkt. Mwigulu ramani ya jiografia ya bonde la umwagiliaji Ulemo-Zinziligi-Mbelekese

Singida: Mkurugenzi wa NIRC, Raymond Mndolwa akimuonesha Waziri Dkt. Mwigulu ramani ya jiografia ya bonde la umwagiliaji Ulemo-Zinziligi-Mbelekese

Pfizer

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2021
Posts
590
Reaction score
807
Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC) Raymond Mndolwa akimuonesha Waziri wa Fedha, Mhe Dkt. Mwigulu Nchemba (Mb) ramani ya jiografia ya bonde la umwagiliaji Ulemo-Zinziligi-Mbelekese lililopo katika halmashauri ya wilaya ya Iramba mkoani Singida.

Aidha Mndolwa amewaelekeza wataalamu wa Tume kufanya upembuzi yakinifu kwa ajili ya kupata sehemu ya kujenga bwawa, uchimbaji wa visima pamoja na miundombinu ya umwagiliaji ili kumwagilia bonde hilo lenye ukubwa wa hekta 43,000 kwa ajili ya kunufaisha wakazi wa kata 6 za Ulemo, Ndago, Mbelekese, Mukulu, Kaselya na Kiengege.

IMG-20240907-WA0007.jpg
IMG-20240908-WA0027.jpg
IMG-20240907-WA0009.jpg

Pia soma: Iringa: Mkurugenzi Mkuu Tume ya Taifa ya Umwagiliaji Raymond Mndolwa amewataka wakandarasi wa mradi wa Umwagiliaji Skimu ya Mkombazi kuongeza kasi
 
Mbelekese
Hiki kijiji kilikuwaga maarufu sana
 
Back
Top Bottom