Singida Out, iwe fundisho siku nyingine

Hakupaswa kurudi ndani
Ni sheria ipi hiyo, unaweza kuweka refference hapa au hata kuichambua tu kwauktadha unaoeleweka.

Yaani mpira aliupiga saido, ukaenda nje, kabla haujatua kipa akauvutia ndani . Hiyo kona inakuaje hapo mkuu??
 
Kwenye nidhani namkubali 100% na km angekua refa mwingine wangepigwa redi wachezaji Kwa walichomfanyia but he was very cool,Singida kunakipindi wanaenda shambulia it’s 1vs 3 lkn mpira anarudisha nyuma ‘Gadiel huyo’
Kwani ni kosa kurudisha mpira nyuma??
Na refa hakugawa kadi maana hata yeye anajua alichofanya.

We uwe unazongwa na wachezaji vile usitoe hata kadi ya njano, angegongwa ngumi pale.
 
singida wamezingua wenyewe kwa kupoteza muda
ndio maana refa ameongeza dakika zake yaani hiyo ndio inakuwa fundisho chezeni mpira ili kuondoa lawama kwa refa
 
singida wamezingua wenyewe kwa kupoteza muda
ndio maana refa ameongeza dakika zake yaani hiyo ndio inakuwa fundisho chezeni mpira ili kuondoa lawama kwa refa
Kwambeleko ile ungesemaj sas
 
Ni sheria ipi hiyo, unaweza kuweka refference hapa au hata kuichambua tu kwauktadha unaoeleweka.

Yaani mpira aliupiga saido, ukaenda nje, kabla haujatua kipa akauvutia ndani . Hiyo kona inakuaje hapo mkuu??

Haukuguswa na mchezaji mwingine
 
Kwani ni kosa kurudisha mpira nyuma??
Na refa hakugawa kadi maana hata yeye anajua alichofanya.

We uwe unazongwa na wachezaji vile usitoe hata kadi ya njano, angegongwa ngumi pale.

Alipaswa kuuacha
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kolo Unaweweseka sana! Ungejikita zaidi kwenye kushauri makolo wenzio. Kuhusu maamuzi ya refa, ni taira pekee ndiye anaweza kukubaliana na ujinga ule.
Chomoa mwiko huo ndio source ya maumivu yako
 
Mpira uki toka nje hata ukidakwa bado haibadili maana
Kipa mwenye akili timamu hawezi hangaika kwenda kudaka mpira ambao umetoka wakati yeye ndie mwenye advantage anaongoza goli na dakika zimeisha....

Ningependa kujua kwa nini kipa alienda kudaka mpira nje?
 
Kipa kadakia mpira nje inakuje kona au mimi ndio sija elewa
Siku zote timu ikiongoza inatabia ya kupoteza muda, jiulize kwanini kipa alienda kudakia nje hakuuacha mpira uende ili muda upotee
 
Ni sheria ipi hiyo, unaweza kuweka refference hapa au hata kuichambua tu kwauktadha unaoeleweka.

Yaani mpira aliupiga saido, ukaenda nje, kabla haujatua kipa akauvutia ndani . Hiyo kona inakuaje hapo mkuu??
Mkuu HV kipa kwa nini alienda kuudaka ule mpira ilihali ulikua umetoka?
 
Naomba msaada wa kuelimishwa. Kipa akidakia nje hali ya kuwa mpira haukuguswa na mchezaji wa upande wake inakuwaje?
Kwa kesi ya jana kuna wanaosema mpira uliguswa ndiomaana kipa akaufata kuudakia nje ili isiwe kona yaani aonekane kaudakia ndani, wengine wanasema kaudakia ndani akatoka nao hadi nje. Sasa sijui lipi ni lipi. Ila kama haukuguswa kipa hakuwa na sababu ya kuudaka
 
Umenena vema mwanaYanga. Wewe ni analyst wa ukweli sio chawa wa Jangwami
 
Umeongea Mambo mazuri Sana lakini umeshindwa kuficha mapenzi Kwa Simba. Kutoona madhaifu ya refa Jana na kusema alichezesha vizuri ni upofu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…