Mleta mada asichojua ni kwamba kupoteza muda kwenye futbol ni advantage pia kwa timu inayoongoza.Kolo Unaweweseka sana! Ungejikita zaidi kwenye kushauri makolo wenzio. Kuhusu maamuzi ya refa, ni taira pekee ndiye anaweza kukubaliana na ujinga ule.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mleta mada asichojua ni kwamba kupoteza muda kwenye futbol ni advantage pia kwa timu inayoongoza.Kolo Unaweweseka sana! Ungejikita zaidi kwenye kushauri makolo wenzio. Kuhusu maamuzi ya refa, ni taira pekee ndiye anaweza kukubaliana na ujinga ule.
kipa aliudakia njeIla ule mpira ni utata mno, kipa aliudaka halafu akageuka nao nje.
But pia kisheria sijui kama imefutwa kutokana na VAR ila sheria ilikuwa kipa akidaka mpira kwenye mstari wa goli halafu akageukia golini mpira unawekwa kati. Ila yule kipa jana kadaka ile cross akageukia nao nje
Sent using Jamii Forums mobile app
"kipa kaenda kudakia mpira nje then anarudi ndani, alitakiwa kuuacha. KONA NI HALALI NA GOLI NI HALALI"
Yaani unakubali kabisa kipa kadakia mpira nje. Sijui unapinga nini sasa?!
Ushabiki wa bila kutumia akili mimi niliukataa mapema sana iwe kwa timu yangu Yanga au Simba ukweli utabaki kuwa ukweli tu.
Kipa hafundishwi kuacha mpira uano elekea golini kwake hata awe anajua umetoka au ni offside sababu unaweza achaia muamuzi aka amua vingine ndio maana hua unaona makipa hata mpira unao toka nje lazima ajiridhishe
Kuna kamati kumbe? Hizo kamati zimeanza lini?Kamati imesema haikua kona
So kuna mashindano hayana kamati?Kuna kamati kumbe? Hizo kamati zimeanza lini?
NtakukumbushaPale mmepigwa mtan
Aiseeeee....SSC mnayokazi ya ku reform timu yenu, ila Kombe linabaki Zanzibar.
Alitaka aonyeshe sifa kuwa anajua kudakaKipa mwenye akili timamu hawezi hangaika kwenda kudaka mpira ambao umetoka wakati yeye ndie mwenye advantage anaongoza goli na dakika zimeisha....
Ningependa kujua kwa nini kipa alienda kudaka mpira nje?