LGE2024 Singida: Polisi wanamsaka Katibu Mwenezi CCM kwa kumjeruhi Katibu wa CHADEMA kwa kisu

LGE2024 Singida: Polisi wanamsaka Katibu Mwenezi CCM kwa kumjeruhi Katibu wa CHADEMA kwa kisu

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Wahuni kama hao ndio wana kichafua chama ni wakuchukiliwa hatua kali za kisheria!
Unakunya ndani ukifikiri harmful haitasikika kwa wapita njia???
Kuna ujuha zaidi ya huu uliofanyika kwenye huu uchaguzi?
Yaani watu wanachagua wenyeviti wa vijiji serikali inapeleka washawasha??
 
CCM washaruhusiwa kuteka na kujeruhi kama ikibidi na dola ishatoa gurantee ya kuwalinda hawa wahuni.
 
Wale kiongozi sikubaliani na madai kuwa walitaka kuchoma nyumba tanzania hatujafikia huko ile niliipuuza tangu mwanzo lijuakali na Aidan ni marafiki!
Nyumba zimechomwa sana labda unaamua kujitoa ufahamu. Kama wameweza kuua watu tena kwa uchaguzi tu huu wa mtaa ndio washindwe kuchoma moto nyumba?

👇👇Hiyo ni moja ya nyumba iliwahi kuchomwa moto
 
Wale kiongozi sikubaliani na madai kuwa walitaka kuchoma nyumba tanzania hatujafikia huko ile niliipuuza tangu mwanzo lijuakali na Aidan ni marafiki!
Mjinga sana wewe,huoni watu wameuawa sehemu mbalimbali, unadhani yeye ni nani asitafutwe kudhuriwa?
 
T
Nyumba zimechomwa sana labda unaamua kujitoa ufahamu. Kama wameweza kuua watu tena kwa uchaguzi tu huu wa mtaa ndio washindwe kuchoma moto nyumba?

👇👇Hiyo ni moja ya nyumba iliwahi kuchomwa moto
Ulichoandika wala hakieleweki!
 
Usipende kuvamia watu!
Hapo nimevamiaje,we unajua niko wapi halafu unasema wale waliodakwa wasingeweza kuchoma nyumba,ilhali kuna hadi watu wamekufa kwasababu ya huuhuu uchaguzi?
Tumia akili
 
Wakuu,

Huu uchaguzi ni balaa!

======

TAARIFA KWA UMMA

Jeshi la Polisi Mkoa wa Singida linamtafuta Joseph Shila, Katibu Mwenezi wa CCM Kata ya Mitunduruni, Wilaya ya Singida kwa tuhuma za kumjeruhi kwa kisu kwenye bega la kushoto Hamisi Nkua, (52) Katibu wa CHADEMA Wilaya ya Singida.

Tukio hilo linadaiwa kutokea Novemba 27,2024 majira ya saa 8:00 mchana katika eneo la uwanja wa maonesho Mandewa baada ya kutokea mzozo baina ya wanachama wa CCM na CHADEMA. Majeruhi alipata matibabu hospitali na kuruhusiwa.

Imetolewa na;
Amon D. Kakwale - SACP
Kamanda wa Polisi
Mkoa wa Singida.

Ndugu zangu nchi hii sasa tumebakia na kete mbili zilizo kuu ili tuondokane na vitisho na uongozi wa kidhalimu wa CCM chini ya SAMIA Suluhu Hassan ,kete ya kwanza ni ss wananchi kuamua kuandamana nchi nzima non stop kujitetea wenyewe dhidi ya mateso ya kutekwa na kuuawa kwa ndugu zetu mbalimbali.Kete ya pili ni JESHI la WANANCHI wa TANZANIA kama linavyofahamika kuchukua mamlaka kwa niaba ya wananchi kama kweli jeshi hili ni lao na liko kwa ajili ya wananchi.Mauaji yanayoendelea sasa naamin ni zaidi ya awamu zote zilizowahi kupita kuongoza Taifa hili.Kete hz mbili yoyote inaweza kuanza bila kusubiri nyingine kwa lengo la kuponya Taifa.Anayeshabikia watu kutekwa ,kuteswa na kuuawa ni kwa sababu hana upendo na uzalendo kwa watanzania wenzake.Majeshi ya wananchi kama ya Burkina faso,Mali na kwingineko yalipoona siasa chafu zinazonuka kama mavi zikiendeshwa ndani ya nchi zao majeshi hayo yaliingilia Kati ya kuwafurusha wanasiasa washenzi na wapumbavu wasio na Akili wanaohujumu nchi zao.JESHI letu linasemwa na kusifiwa kuwa lina weledi,nidhamu na maadili ya hali ya juu kabisa,Sasa SWALI la msingi linawezaje kuwa na sifa zote hizo Alafu linavumilia wananchi wake wakiteseka,je sifa hizi kea jeshi letu ni za kweli?.Kama nchi ni lazm tuache usanii na tujitafakari kwa kina na mapana.
 
Wakuu,

Huu uchaguzi ni balaa!

======

TAARIFA KWA UMMA

Jeshi la Polisi Mkoa wa Singida linamtafuta Joseph Shila, Katibu Mwenezi wa CCM Kata ya Mitunduruni, Wilaya ya Singida kwa tuhuma za kumjeruhi kwa kisu kwenye bega la kushoto Hamisi Nkua, (52) Katibu wa CHADEMA Wilaya ya Singida.

Tukio hilo linadaiwa kutokea Novemba 27,2024 majira ya saa 8:00 mchana katika eneo la uwanja wa maonesho Mandewa baada ya kutokea mzozo baina ya wanachama wa CCM na CHADEMA. Majeruhi alipata matibabu hospitali na kuruhusiwa.

Imetolewa na;
Amon D. Kakwale - SACP
Kamanda wa Polisi
Mkoa wa Singida.

ni vizuri kujiepusha na ukorofi kwenye chaguzi ndugu zangu 🐒
 
Kama huamini Taarifa zake mpuuze, usifuatilie habari zake, Mbona habari za wauaji wenzako wanaccm zimejaa tele humu jf, kwanini kuhangaika na huyo mwanachadema muongo?
Ni propagandist wa Chadema
 
Wakuu,

Huu uchaguzi ni balaa!

======

TAARIFA KWA UMMA

Jeshi la Polisi Mkoa wa Singida linamtafuta Joseph Shila, Katibu Mwenezi wa CCM Kata ya Mitunduruni, Wilaya ya Singida kwa tuhuma za kumjeruhi kwa kisu kwenye bega la kushoto Hamisi Nkua, (52) Katibu wa CHADEMA Wilaya ya Singida.

Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Tukio hilo linadaiwa kutokea Novemba 27,2024 majira ya saa 8:00 mchana katika eneo la uwanja wa maonesho Mandewa baada ya kutokea mzozo baina ya wanachama wa CCM na CHADEMA. Majeruhi alipata matibabu hospitali na kuruhusiwa.

Imetolewa na;
Amon D. Kakwale - SACP
Kamanda wa Polisi
Mkoa wa Singida.

Hizo drama tu, hata wakimkamata hawata mfanya lolote.
Zaidi zaidi atapandishwa cheo.
 
Kwa hyo sawa tu yule aliyepigwa panga hadi kupoteza uhai

Ova
hakuna haja kubeba panga, kurusha ngumi wala mateke kwenye uchaguzi,

piga kura yako kwenda nyumbani kusubiri matokeo 🐒
 
Polisi hawawezi kumkamata mtuhumiwa ambaye ni ccm,wataendelea tu kusema anatafutwa
 
Back
Top Bottom