Mtanzanias
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 1,747
- 3,725
Ninaamini wengi mnakumbuka huyu bwana aliwahi kujaribu kumiliki hizi timu, lakini mpaka Leo nafikiri kilichomfanya akazitema kwa asilimia kubwa ni kutompa faida aliyokuwa anaitaka na aliona fursa iko simba.
Sasa anasema na hiyo simba inampa hasara tu, nilitegemea nayo aiteme Kama alivyofanya kwa African Lyon na Singida united, lakini amekuwa bingwa wa kulalamika wakati huo huo hataki kuutema mnofu aliokwishaweka mdomoni ambao anadai Una mchanga!!!!