Mtanzanias
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 1,747
- 3,725
Ubingwa wa makando kando mnajisifu nao , mo anaposema anaingia hasara ujui kuna fungu jingine anatoa kwaajili ya mbinu chafu, mlipeni sasa iyo bil. 21 aliyowakopesha cijui mtailipa kwa stahili ipi na klabu haina ata thumuniView attachment 1880225manara utasubiri sana
Ubingwa wa makando kando mnajisifu nao , mo anaposema anaingia hasara ujui kuna fungu jingine anatoa kwaajili ya mbinu chafu, mlipeni sasa iyo bil. 21 aliyowakopesha cijui mtailipa kwa stahili ipi na klabu haina ata thumuni
Jamaa anamkakati wa kubadilisha majina ya Simba kaanza na Uwanja alitaka achomeke Simba Mo Sports Club wenye akili wakamshtukiaNinaamini wengi mnakumbuka uyu bwana aliwahi kujaribu kumiliki hizi timu, lakini mpaka Leo nafikiri kilichomfanya akazitema kwa asilimia kubwa ni kutompa faida aliyokuwa anaitaka, na aliona fursa iko simba, sasa anasema na iyo simba inampa hasara tu nilitegemea nayo aiteme Kama alivyofanya kwa African Lyon na singida united, lakini amekuwa bingwa wa kulalamika wakati huo huo ataki kuutema mnofu aliokwishaweka mdomoni ambao anadai Una mchanga!!!!