peaceful aman
Member
- Dec 28, 2016
- 18
- 9
ata sgd united tunamkaribishaaaaMo sasa atafadhili simba au singida united?
ni kwel mkuu figisu ni nyingi sana singida! yote tumemkabidhi Mungu..Hongera singida united.Ila naona wengi hawajapendezwa.Timu Mo aliitupa,ila wakatokea wenye mapenzi na timu nakuirudisha.Japo kuna wachezaji wengi wazoefu ila ni wakati mzuri wakusajili.Kiujumla kuna watu wengi sana ambao wao ni kupinga tu maendeleo ya singida.Kama Simbu alibadilishwa kabila na kuwa muiraq watashindwaje kusema Alliance wamehongwa?
2_0 mkuu dhidi ya Alliance ya MwanzaHivi tulishinda ngapi?
ni nizar khalfan tu mkuuIla mlikuwa na wachezaji weng wa zaman
Vajifya inoo ahumbaa Vo khayaa![emoji123] [emoji123] [emoji123]2_0 mkuu dhidi ya Alliance ya Mwanza