Singida United Football Club

Singida United Football Club

ONGERA ZIWAFIKIE WANA SINGIDA...

ILA CHA KUFANYA MNATAKIWA MHAKIKISHE MNAPANDA NYASI UWANJANI...

MSIPOFANYA HIVYO NGOMA, KAMUSOKO , MSUVA NA TAMBWE MTAENDELEA KUWASOMA MAGAZETINI..
Hao mpaka wanunuliwe mechi,kuna Mavugo,Mwanjale,Pedeshee Bukungu,Ajibu na funiko Agjei
 
Mkuu,

nani anataka kutazama mehi ambayo wachezaji nyota takriban 50% hawako kwenye "Highest Scoring Form "

1. (MAVUGO)Hakuna aliye tayari kuona mshambuliaji anayebaki yeye na goli lakini anapaisha mipira hewani au nje kabisa ya goli.

2. (MWANJALE) Hakuna aliye tayari kuona Mlinzi anayetoa boko kwenye Crucial games.

3. (AJIBU) Hakuna aliye tayari kuona mchezaji anayetamba baada ya kufunga bao moja na kutoa pasi (ambayo wenyewe mmekuwa mkiipigia kelele mitandaoni) katika mechi takribani 11 alizocheza...

4. (AGEY) Hakuna aliye tayari kuona mchezaji kama huyu ....na akaishiwa na kiu ya kumtazama mtu kama DIDA akiwa langoni.

.........

-Shinyanga wana KIU kubwa ya kutazama mabao ya ''VICHWA'' yakiingizwa kambani na mbaya wenu Amis J Tambwe.

-Shinyanga wana KIU kubwa ya kutazama mabao ya ajabu ajabu ambayo yanaingizwa kimyani na mtu kama MSUVA.

-Shinyanga wana KIU kubwa ya kutazama jinsi Niyonzima akipiga pasi "NDIZI" zinazozalisha mabao.

-Shinyanga wana KIU kubwa ya kutazama mabao kubwa la maadui BOSSOU anavyotoka nyuma na kwenda mbele kutumbukiza vichwa vya mipira ya kona...(Hawataki kuona Mwanjale akitoa maboko ovyoovyo)

-Shinyanga wana KIU kubwa ya kmtazama mabao Kamusoko akipunguza viungo huku rasta zikiwa hewani.

shinyanga sio watu wa mchezo mchezo!
 
Hivi hadi msimu ujao Kamsoko atakuwa hajastaafu tu soka.Maana kazeeka kweli. Japo Mwigulu nae anahisa sgd United. Asijeibadili timu na kuwa tawi la ndala. Sgd united ijisimamie yenyewe ndipo tutaona mchango wao katika kuwatingisha hawa wanasiasa wetu wa njano na nyekundu.
 
ONGERA ZIWAFIKIE WANA SINGIDA...

ILA CHA KUFANYA MNATAKIWA MHAKIKISHE MNAPANDA NYASI UWANJANI...

MSIPOFANYA HIVYO NGOMA, KAMUSOKO , MSUVA NA TAMBWE MTAENDELEA KUWASOMA MAGAZETINI..
hahaaa sawa mkuu namfua Stadium wataEnjoy sana tu hao professionals
 
Mkuu,

nani anataka kutazama mehi ambayo wachezaji nyota takriban 50% hawako kwenye "Highest Scoring Form "

1. (MAVUGO)Hakuna aliye tayari kuona mshambuliaji anayebaki yeye na goli lakini anapaisha mipira hewani au nje kabisa ya goli.

2. (MWANJALE) Hakuna aliye tayari kuona Mlinzi anayetoa boko kwenye Crucial games.

3. (AJIBU) Hakuna aliye tayari kuona mchezaji anayetamba baada ya kufunga bao moja na kutoa pasi (ambayo wenyewe mmekuwa mkiipigia kelele mitandaoni) katika mechi takribani 11 alizocheza...

4. (AGEY) Hakuna aliye tayari kuona mchezaji kama huyu ....na akaishiwa na kiu ya kumtazama mtu kama DIDA akiwa langoni.

.........

-Shinyanga wana KIU kubwa ya kutazama mabao ya ''VICHWA'' yakiingizwa kambani na mbaya wenu Amis J Tambwe.

-Shinyanga wana KIU kubwa ya kutazama mabao ya ajabu ajabu ambayo yanaingizwa kimyani na mtu kama MSUVA.

-Shinyanga wana KIU kubwa ya kutazama jinsi Niyonzima akipiga pasi "NDIZI" zinazozalisha mabao.

-Shinyanga wana KIU kubwa ya kutazama mabao kubwa la maadui BOSSOU anavyotoka nyuma na kwenda mbele kutumbukiza vichwa vya mipira ya kona...(Hawataki kuona Mwanjale akitoa maboko ovyoovyo)

-Shinyanga wana KIU kubwa ya kmtazama mabao Kamusoko akipunguza viungo huku rasta zikiwa hewani.

shinyanga sio watu wa mchezo mchezo!
Kwa kuokoteza sababu hujambo....eti Ajei braah braah,kwendraaaa peleka matunda Muhimbili hukooo
 
Hahahahaha

Masikini weeee! umemuona Agyie tu wa kumtetea.....

wote waliobaki ni mitambo tuuuuuuu....

pole sana Mkuu.

[Ila NJoo Yanga SC unenepe wewe........]
 
Wasaalamu!

Ni nderemo na vifijo kwa Mkoa mzima wa Singida na viunga vyake. Hatimaye kwa takribani miaka 17 sasa Tumefanikiwa kupandisha timu Ligi Kuu Ya Vodacom kwa Msimu mpya ujao wa 2017/2018.

Ndiyo, Singida United ndani ya ligi kuu. Tunamshukuru Mungu kwa yote, benchi la ufundi, wachezaji wote kwa ujumla na wote wenye mapenzi mema.

Wana Singida wote semeni Oyoooooooo!!
Come On You Singida!
sawa baba lazma tukimbize ligi kuuuuuuuuuu
 
ni kwel mkuu figisu ni nyingi sana singida! yote tumemkabidhi Mungu..
Pole pole, hatua kwa hatua tunawaweka kushoto si yunasonga mbele-Wapinzani wa mkoa wetu ni wengi na wamekariri kuwa wana neema kwao na ushindi siku zote uwaendee, sasa wasage chupa wanywe.
SIngida Boy,,,,,,,,NAIPENDAAAAAAAAAA
 
Wasongela sana dani
 
Back
Top Bottom