Msingida
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 10,239
- 11,731
Wiki iliyo pita Maafisa idara ya elimu Singida walitembelea Ngorongoro kuvinjari huku shule zao zikiwa zimefelisha vibaya kwenye mitihani ya taifa.
Elimu ya msingi ni kati ya wilaya duni na sekondari ndio usiseme.
Haya ni baadhi ya matokeo ya shule zilizojitahidi:
Ikungi sec ilikuwa ya 1344 kati ya shule 3392
ilongero 1737 / 3392
sepuka 1855 / 3392
Kijota 2491 /3392
Makiungu 2625 /3392
Mbaya zaidi wametumia fedha za walipa kodi kugharimia safari huku kukiwa na shule nyingi zikiwa zinahitaji matengenezo,walimu wanamadai kibao,Wanafunzi wengi wana Division ZERO.
Mh.Tundu Lissu tusaidie kwenye Council mlipitisha shilingi ngapi kujipongeza kwa mwendo huo wa Elimu?
My take: hii ni sawa na kufanya sherehe kwenye nyumba ya msiba
source.mimi mwenyewe