Singida (v) wajipongeza kwa Kufelisha

Singida (v) wajipongeza kwa Kufelisha

Msingida

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2010
Posts
10,239
Reaction score
11,731
Wiki iliyo pita Maafisa idara ya elimu Singida walitembelea Ngorongoro kuvinjari huku shule zao zikiwa zimefelisha vibaya kwenye mitihani ya taifa.
Elimu ya msingi ni kati ya wilaya duni na sekondari ndio usiseme.
Haya ni baadhi ya matokeo ya shule zilizojitahidi:

Ikungi sec ilikuwa ya 1344 kati ya shule 3392
ilongero 1737 / 3392
sepuka 1855 / 3392
Kijota 2491 /3392
Makiungu 2625 /3392

Mbaya zaidi wametumia fedha za walipa kodi kugharimia safari huku kukiwa na shule nyingi zikiwa zinahitaji matengenezo,walimu wanamadai kibao,Wanafunzi wengi wana Division ZERO.

Mh.Tundu Lissu tusaidie kwenye Council mlipitisha shilingi ngapi kujipongeza kwa mwendo huo wa Elimu?
My take: hii ni sawa na kufanya sherehe kwenye nyumba ya msiba
source.mimi mwenyewe
 
Mbona wabunge na taasisi nyingine wakienda hamsemi kwa hiyo wasifurahie mema ya nchi kwa kuwa kuna waliofeli?
 
Kwahiyo mumejilinganisha na wabunge?Walimu mnawadhulumu mnajinufaisha wenyewe,watoto mumewaacha hawana msaada mnaenda kujipumzisha Ngorongoro na fedha za walipa kodi!
Shame on you.
 
Wacha wale bata kazi Ngumu sana kufundisha mitoto isiyoelewa keep it Up
 
mkuu niliwahi kuishi Ilongero..watu wakule wanalima sana ulezi na alizeti..wafundishwe kilimo kitawatoa vijana.
 
Kwahiyo mumejilinganisha na wabunge?Walimu mnawadhulumu mnajinufaisha wenyewe,watoto mumewaacha hawana msaada mnaenda kujipumzisha Ngorongoro na fedha za walipa kodi!
Shame on you.

chukua time utafute hotuba ya kikwete 2010 akiwatukana watumishi kisa wanadai kima cha chini cha lak 3 elf 15 alisema asietaka aache kazi. Hatuachi kaz na mwaka kesho 80per fld. Acha wale bata.
 
We ndo fisadi kabisa maafisa elim wakati walimu wanagoma ndo walikuwa wanawatafuta walimu waliogoma ili wajipendekeze kwa vigogo.Mnawadhulumu walimu waziwazi mkijifanya mko upande wao.Waiziiiiii
 
Kwahiyo mumejilinganisha na wabunge?Walimu mnawadhulumu mnajinufaisha wenyewe,watoto mumewaacha hawana msaada mnaenda kujipumzisha Ngorongoro na fedha za walipa kodi!
Shame on you.

kwa hiyo wasipoenda ndo watafaulu 100%.unapenda kusikia mamiss tu ndo wawe wanafanya utalii wa ndani?wacha waone utalii wa ndani unataka aje mzungu kumsimulia ngorongoro kunafananaje
 
We secretary kama siyo miss basi tena,ila wa hapo kwa mkurugenzi wote mmezeeka sana na wengi wagonjwa.Kwa nini msitumie fedha zenu mtumie za walipa kodi au ndo mna malizia siku maana mnapukutika kama mna kipindupindu
 
haya tena nimepachikwa cheo kwa mkurungenzi Singida makubwa haya
 
Back
Top Bottom