Singida Wamenyimwa Goli halali na Mwamuzi wa Pembei

Ni muda sasa tuseme hapana hii sio fair, ni aibu sana ligi 5 kwa ubora Africa kuwa na Waamuzi wa ovyo namna hii.

Bodi ya ligi na chama cha waamuzi kaeni chini mujitafakari hao muowapa mamlaka ya kuamua na kusimamia sheria za mpira wa miguu wanakidhi vigezo vya kutafsiri sheria?

Hili ni goli halali kabisa kabisa ila mwamuzi wa pembeni ameamua kulikataa.
View attachment 2775716
Uzi tayari
 
Ndio maana Huwa siangaliagi hayo mamechi yenu maana mara nyingi matokeo yanapangwa kusaidia Simba na Yanga
 
Wanagungwa singida mnaumia utopolo nyie vipi aiseee[emoji23]
 
Ni muda sasa tuseme hapana hii sio fair, ni aibu sana ligi 5 kwa ubora Africa kuwa na Waamuzi wa ovyo namna hii.

Bodi ya ligi na chama cha waamuzi kaeni chini mujitafakari hao muowapa mamlaka ya kuamua na kusimamia sheria za mpira wa miguu wanakidhi vigezo vya kutafsiri sheria?

Hili ni goli halali kabisa kabisa ila mwamuzi wa pembeni ameamua kulikataa.
View attachment 2775716
Kwani haya Yana muda basi we subilia wameanza hii michezo wengine watamaliza na pasiwepo na lawama yoyote, Kila timu itashinda kwa namna inavyojua Wala msilalamike, marefa waendelee na hii mifumo yao tuone kitachotokea mbele ya safari
 
Marefa wa kibongo wanabahati mbaya hawajui izi mechi kubwa zinaonekana mbali na ndizo caf wanazitumia kama kiboko cha kuwachapia.
Teknolojia ya computer inayo husisha Libero kupitia Azam TV ina waacha marefawetu uchi.
Kwa hali inavyokwenda wanaweza kupigwa marufuku kuchambua magoli maana wenye mipango wana aibika sana.
 
Achana nao...kubebwabebwa FC ..

😅😅😅
 
IMG_1266.jpg

Hii unaiyongeleaje
 
Marefa wa kibongo wanabahati mbaya hawajui izi mechi kubwa zinaonekana mbali na ndizo caf wanazitumia kama kiboko cha kuwachapia.
Teknolojia ya computer inayo husisha Libero kupitia Azam TV ina waacha marefawetu uchi.
Kwa hali inavyokwenda wanaweza kupigwa marufuku kuchambua magoli maana wenye mipango wana aibika sana.
Nadhani uko Sawa kabisa. Wanadhani wamejificha kumbe wanaonekana. Hapa tusubirie barua ya Chama cha Waamuzi lakini timu imeshaumia.
 
Back
Top Bottom