PreGE2025 Singida: Wananchi Wakubaliana na hoja zote za Chadema, wasema Uchaguzi hautakuwepo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
143,138
Reaction score
288,731
Pichani ni Wananchi wa Singida Mjini wakishangilia Spana za Chadema zilizojaa Ushahidi kuhusu Wizi wa kura

Screenshot_2025-06-09-17-57-29-1.png

Hii ni baada ya Elimu kabambe kutoka kwa Baba Askofu Mwamakula

Screenshot_2025-06-09-17-56-53-1.png

Baadaye John Heche akaingia ulingoni

Screenshot_2025-06-09-17-57-41-1.png
Screenshot_2025-06-09-17-57-04-1.png

Kama hali ni hii ni nani atashiriki uchaguzi?
 
UCHAGUZI KWA CHADEMA NA WAFUASI WAKE HAUTAKUWEPO!
LAKN VYAMA VINGINE 18 NA WAFUASI WAKE WATAFANYA UCHAGUZI..
HAKUNA K YOYOTE ITAKAYOZUIA UCHAGUZI!
 
Pichani ni Wananchi wa Singida Mjini wakishangilia Spana za Chadema zilizojaa Ushahidi kuhusu Wizi wa kura

View attachment 3362360

Hii ni baada ya Elimu kabambe kutoka kwa Baba Askofu Mwamakula

View attachment 3362365

Baadaye John Heche akaingia ulingoni

View attachment 3362369View attachment 3362370

Kama hali ni hii ni nani atashiriki uchaguzi?

Na siyo hawa pekee. Hapo ujue ambao hawatashiriki uchaguzi, kupitia hawa waliopo kwenye mkutano, ni mara 5 yao.

Kila aliyepo hapo anashauriwa awapate angalao si chini ya watano kuwaelimisha kwa nini hakuna haja ya kushiriki uchaguzi kama hakuna mabadiliko ya kuwezesha kura za wananchi kuwa na maana.
 
Mpango huo umeanza na unaendelea vema
 
Pichani ni Wananchi wa Singida Mjini wakishangilia Spana za Chadema zilizojaa Ushahidi kuhusu Wizi wa kura

View attachment 3362360

Hii ni baada ya Elimu kabambe kutoka kwa Baba Askofu Mwamakula

View attachment 3362365

Baadaye John Heche akaingia ulingoni

View attachment 3362369View attachment 3362370

Kama hali ni hii ni nani atashiriki uchaguzi?
OLE WAKE MWANANCHI ATAKAYE ENDA KUPIGA KURA
OLE WAKE MWALIMU ATAKAYE SIMAMIA UCHAGUZI
OLE WAKE MGAMBO ATAKAYE SIMAMIA UCHAGUZI

No reform no election.
 
Kuna komenti na reply zaki Pumbavu Active angalia reply ya Mwimo Huyo mpumbavu mimi sijajibu chochote kutoka kwake
 
Unatia aibu sana!

Mama d jiheshimu

Mimi au nyie
Mnashindwa kujenga chama imara mnasubiri wakati wa uchaguzi mfanye blah blah kisha mpewe nchi🤪

Mtasubiri sana👎Kuikataa ccm na kuichagua chadema ni sawa na kutoka kwenye sufuria na kuingia kwenye moto

Tatizo lenu hamtaki kukubali ukweli

Tulieni mjenge chama muone kama hamtaeleweka
 
Back
Top Bottom