Singida: Watu 14 wafariki na watatu kujeruhiwa ajali ya Lori na hiace

I see yani nimepata mshituko kujua ni familia ya wifi yangu.....

Binti wa Kaka yangu kafariki akiwa anapelekwa hospital

I see

Kifo kikifika hakuna pa kukwepea jaman

Just imagine mtoto yuko form 1 kung'ang'ania kwenda kwenye harusi anarudi marehemu.....dah!
 

Kwa habari hiyo Singida: Watu 14 wafariki na watatu kujeruhiwa ajali ya Lori na hiace
Na habari hii IGP Simon Sirro umepewa taarifa yaliyotokea Kijiji cha Kimange leo
Namwona RPC anajipanga kisaikolojia, very soon atapewa dose yake
 
Daaa! Ilikuwa hatari! Picha utafikiri ni helicopter iliyo-crash, duuu!
 
Ooh.. poleni sanaaa

Mwenyezi Mungu awarehemu marehemu na atujaalie na sisi mwisho mwema.

Hakika ya kifo ni haqi na kila nafsi itaonja umauti..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ