TANZIA Singida: Watu tisa(9) wafariki, basi likigonga Lori

😭😭 kweli hakuna kitakachodumu daima.....Am speechless aisee🙏🏽🙏🏽🙏🏽
 
Si mliisha ambiwa msirushe picha za aina hii? Hamuwatendei haki marehemu na majeruhi.

Amandla...
 
Oya hii video haijakaa sawa ungeweka tahadhari...

Hata hivyo hii ajali ilishatokea ni lile basi siku kadhaa zilizopita lilipata ajali huko kanda ya kati, ni lile basi la Mwanza Dar...

Active hii habari ya kuitoa tu hapa...
Kuna watu ni kama mashetani. Unawapata wapi nguvu za kurekodi watu walioko kwenye hali kama hiyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…