The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
Katika kuelekea kwenye sherehe za Mei Mosi, Kitaifa mkoani Singida, pamoja na mambo mengine wiki moja kabla ya maadhimisho, mkoa umewahakikishia wageni zaidi ya 6000 kutoka ndani na nje ya nchi pamoja na wakazi wa Singida, kutakuwepo kiburudisho cha kuku choma wa kienyeji zaidi ya tani moja na nusu ambazo zitachomwa sehemu mbalimbali za Mitaa ya Mji wa Singida.
Hayo yamebainishwa na Mkuu wa Mkoa wa Singida, Bi. Halima Dendego, aliye ambatana na viongozi mbalimbali wakiwemo wa CCM kwa nyakati tofauti wamefanya ukaguzi sehemu zinazochomwa nyama za kuku huku wakizionja.