dah rose ananitosa ana maind miaka yangu lakini ntaendelea kukomaa tu
Kwani hapa hakuna majiko?
Kaza buti mkuu, pia mmwagie misifa kem kem, mfano mwambie we usiku kucha yale macho yake yakufanya usikose usingizi yaani full of dreamz kwa yeye tu! so lazima somo litaeleweka
Maumivu kwani umetamkiwa rasmi hutakikani?Mwenyewe tu na wasiwasi wako Dr.!Mzima lakini?Hahahahaha na wewe umeshaanza! Umenipa tu pole kwa maumivu na kuamua kunipotezea jumla ! hata kusema ngoja nimjulie hali mgonjwa hakuna! Aunt Lizzy vipi tena??
Ni MTZ
Mrefu
Mweusi
Muumini wa kawaida
Mchapa kazi(tractor la familia)
Living single
Mpole kiasi
Huu msemo mbona wa kawaida
Hazitoshi hata kumfanya mtu atake kujua jina lako!!Fikiria yote utakayomuuliza atakaejitokeza utoe majibu yake kwa upande wako!Da lizzy hazijatosha hizo?
Hebu niambie eneo gani sijaligusa?
Maumivu kwani umetamkiwa rasmi hutakikani?Mwenyewe tu na wasiwasi wako Dr.!Mzima lakini?
AUNT LIZZY,
Mie mzima ila tu uchovu wa mabox si unajua tena maisha yetu! Si unajua akufukuzaye hakuambii toka? ndio maana mhmhm mie naona sitakikani tena @! Ila nashukuru kwa kunipa hi, nahisi leo nitapiga box vizuri sana! Endelea kula good time!!
yako tooo much selectiveKwani hapa hakuna majiko?
Hadi mwaka unaisha nashikilia hii identity
mwaka 2011 nataka kuachana nayo
wana jf naomba mnipe experience ya huko niendako
pia nakaribisha maombi kwa wale opp sex walio single twaweza fanya njia
Nataka jiko
inakuwaje mjita? we demu au meni?
wat do u mean?majiko jf??!! Mmmmh! Labda, ila kuwa makin