Single and available

Single and available

dah rose ananitosa ana maind miaka yangu lakini ntaendelea kukomaa tu

Kaza buti mkuu, pia mmwagie misifa kem kem, mfano mwambie we usiku kucha yale macho yake yakufanya usikose usingizi yaani full of dreamz kwa yeye tu! so lazima somo litaeleweka
 
Kaza buti mkuu, pia mmwagie misifa kem kem, mfano mwambie we usiku kucha yale macho yake yakufanya usikose usingizi yaani full of dreamz kwa yeye tu! so lazima somo litaeleweka

mjita mi huku saa hii full miwazo yaani
halafu anaelekea ni very possessive basi mi hapo tu hoi
 
Hahahahaha na wewe umeshaanza! Umenipa tu pole kwa maumivu na kuamua kunipotezea jumla ! hata kusema ngoja nimjulie hali mgonjwa hakuna! Aunt Lizzy vipi tena??
Maumivu kwani umetamkiwa rasmi hutakikani?Mwenyewe tu na wasiwasi wako Dr.!Mzima lakini?
 
Ni MTZ
Mrefu
Mweusi
Muumini wa kawaida
Mchapa kazi(tractor la familia)
Living single
Mpole kiasi

Sifa tatu tu hapo ndo zinajieleza alafu wala hazijitoshelezi kabisa!Kama uko siriaz weka zile muhimu!
 
sifa tatu tu hapo ndo zinajieleza alafu wala hazijitoshelezi kabisa!kama uko siriaz weka zile muhimu!

Da lizzy hazijatosha hizo?

Hebu niambie eneo gani sijaligusa?
 
Da lizzy hazijatosha hizo?

Hebu niambie eneo gani sijaligusa?
Hazitoshi hata kumfanya mtu atake kujua jina lako!!Fikiria yote utakayomuuliza atakaejitokeza utoe majibu yake kwa upande wako!
 
Hazitoshi hata kumfanya mtu atake kujua jina lako!!Fikiria yote utakayomuuliza atakaejitokeza utoe majibu yake kwa upande wako!

Mh ngoja nitafute wazee waniweke sawa juu ya sifa lijali
 
Maumivu kwani umetamkiwa rasmi hutakikani?Mwenyewe tu na wasiwasi wako Dr.!Mzima lakini?

AUNT LIZZY,
Mie mzima ila tu uchovu wa mabox si unajua tena maisha yetu! Si unajua akufukuzaye hakuambii toka? ndio maana mhmhm mie naona sitakikani tena @! Ila nashukuru kwa kunipa hi, nahisi leo nitapiga box vizuri sana! Endelea kula good time!!
 
Hapo ndipo watu wanapoharibu!!Hujaambiwa tayari unahisi....muulize na akujibu bila kuzungushana...nakwambia kwasababu nimewahi kupitia kitu kama hicho!!!
 
Hadi mwaka unaisha nashikilia hii identity

mwaka 2011 nataka kuachana nayo

wana jf naomba mnipe experience ya huko niendako

pia nakaribisha maombi kwa wale opp sex walio single twaweza fanya njia

Ningekushauri utembelee blog ya kitanzania ya Wabongomeet: www.wabongomeet.blogspot.com huenda unaweza kubahatisha. Possibility kule ni kubwa kuliko JF.
 
inakuwaje mjita? we demu au meni?

DJ BABU,

Signature yako inanipa shida kuisoma!

Dear Lord, you've done took so many of my people but I'm just wonderin' why
You haven't taken my life?
 
Back
Top Bottom