Miss you too. Mbaya zaidi.. tehShukrani kwa Mungu aiseeh niko sawa.
Sijui wew.
Nimekumiss mbaya mbovu
Miss you too. Mbaya zaidi.. teh
Mwenye uzi wake katupandisha mori wa party halafu katukimbia
Kwa kweli ufanye hivyo.Anatabia mbaya huyu..ngoja akiibuka namshushia povu la maana..asha ngedere akasome.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bado kidogo... nikianza tu I'll let you know au unazungumzia uzi!Vipi umeshafika eneo la tukio kabla ya ile tarehe??
Bado kidogo... nikianza tu I'll let you know au unazungumzia uzi!
I'll let you know......Hapana sizungumzii uzi.nazungumzia ile kitu ingine ile tuliyoongea
I'll let you know......
Na wee unahitaji kwenda hii party?
Nitakuwa DJ hahahBaba kama kuna sare naibuka tu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].najua wewe lzima uende tu maana nimeona fujo zako
Nitakuwa DJ hahah
[emoji16][emoji16]hivi unamjua huyu chalii[emoji28][emoji28]utakuwa dj papaa mafido
[emoji16][emoji16]hivi unamjua huyu chalii
Tupangeni Jamani tufanyie bagamoyo nilipata matatizo naomba uwe mwenye kiti kuorganiseMwenye uzi wake katupandisha mori wa party halafu katukimbia
Pole mkuu. Jukumu la uenyekiti ni zito sana, ningependekeza uwe wewe.Tupangeni Jamani tufanyie bagamoyo nilipata matatizo naomba uwe mwenye kiti kuorganise
kesha nipata singoFaza !!Mwenye uzi wake katupandisha mori wa party halafu katukimbia
Ndo nani?Mmemuona singo faza mwenye miaka 50?