Chiwa
JF-Expert Member
- Apr 17, 2008
- 4,116
- 4,979
ikifanikiwa kufanyika mara 5 mfululizo bila malalamiko mtu kachukuliwa bwana wake mnialike niwachangieLeo nimetulia nimeona tufanye get together itakayo waunganisha waliosingle wote party itakuwa tarehe 22/4/2017 na umri kuanzia miaka 25 kwenda juu tukutane tufahamiane na tuwe na chama chetu cha kufarijiana na pale mwanachama anapokiaga chama tutashiriki sherehe yake na kumfurahia.
Karibuni jamani!