Single girl akiona hii lazima atukane

Ndiyo maana nikamuuliza ametembea nchi ngapi na kuona maisha gani tofauti tofauti?

Siyo anakariri habari za kijijini kwao na kufikiri dunia nzima iko hivyo.
 
They must be having a serious genetic defect or are just irresponsible pseudomen who believe they want to enjoy life without responsibility.
Kwani kuoa peke yake ndo kuwa na majukumu? Kuna watu wana watoto na wanawatunza vizuri sana na hawajaoa..!
 
Kuolewa sio deal siku hizi. Deal kupata akupendae nawe unampenda
 

I understand myself just fine. Do you?

Try to defend your beliefs without offending others who disagree with you. I know it's difficult but that's what distinguishes a scumbag from a cultured person.

One of the fundamental human need is pursuit of happiness.

That is why, you see people in open societies have such high divorce rates. They have overcome the societal and economic pressure to continue living together by all means, including spousal abuse for the sake of maintaining the status quo.

Once Japan passed laws, few years back, to allow stay-at-home mums to get 50% of their partner's pension in case of divorce, divorce rates shot up by 20% overnight.

You need to study more about human psychology before you pass your twisted moral judgements onto others.

You have no right whatsoever to be the moral police officer of the world.
We don't live in a Stalinist world.

Sweden, Denmark, Norway, Canada and Switzerland are constantly rated amongst the best countries to live in the world.

Many live a single life or have children without getting married to their partners. Divorce rates are high, church attendance is low.

Yet, their countries are ranked amongst the most desired places to live, year after year.

How can you explain that, when getting married is their last item in their bucket list?
 
Nisaidie kueleza. Wengine shombo ya kwa bi mkubwa bado kuwatoka.
 

You are a hypocrite!

Tofauti zetu kubwa zipo kwenye sheria. Mfano, kuoa jinsia moja kwa wao ni jambo la haki ya binadamu kama ilivyoamua makakama zao.
(Binafsi, naamini ndoa ni ya jinsia tofauti lakini naheshimu na sipendi kuingilia maisha ya mtu).

Tanzania kuna watu wengi tu wanazalisha na kusepa, wanawake wanatoa mimba kila siku, watoto wanalelewa bila baba, watoto wanabakwa na walimu na kuzaa nao, wanafunga ndoa za mikataba n.k. Hata wasagaji na makhanithi wapo wengi tu katika jamii zetu. Tunajitia hatuwaoni.

Jaribu Sweden au Marekani kummbaka mtoto au usilipe mahitaji ya mtoto uone moto wake.

Pia, mimba wanaitoa kiusalama zaidi huko kwa mama. Binafsi, ni muhimu zaidi kuliko kukataza na kuweka maisha ya wanawake katika hatari kwa kuitoa mimba kisirisiri au kienyeji.

Ifahamu jamii yako mwenyewe kabla ya kuishutumu nyingine.

Nyani haoni kundule.

Pia, uzilazimishe watu usiowajua kusoma biblia yako na kuishi kwa sheria zake. Wengine wanaishi kwa raha zaidi Kishinto au Kibudha au bila kuamini Mungu yoyote.

Una haki ya kuishi kivyako, huna haki ya kumpangia maisha mwenzio, awe yupo Sweden au Tanzania.
 
Dada tutafutie mkalimani sijui umetutukana au umetupongeza?
Wengine sisi tuna elimu ya hapa na pale.
 
Truth hurts and it hurts deep. From your comments , i see how you are at pain justifying your beliefs if you have any. telling us about western world to justify your stand is pure madness and that is why i asked whether you even understand who you are. It is a shame to see that you kind of advocate for errosion of family values. But, i cant blame you as you seem to be having no moral strands left in you. And, stop just putrting words here and there for the sake of it. What has psychology got to do with this discussion about morality and culture? Throwing words around to make an impression that you know doesnt place you among the knowledgeable.
 
Kama haya yote mabaya yanafanyika, ni sababu ya kuzifumbia macho na kuzihalalisha?
 
Hujamjibu hoja zake mkuu..!!
 

I'm not advocating anything. I just happen to disagree with the notion that a woman or man must be married in order to be "complete".

I've shown numerous examples that being married doesn't make you happy nor complete.

I've also shown that education, wealth and culture plays a big part on the subject of marriage.

You don't seem to even know what human psychology is, otherwise you wouldn't dismiss it so lightly.

Maybe you haven't heard of a specialization called Humanistic Psychology, where peoples' behavior is observed to understand how they come about to make life decisions.

You've every right to your beliefs, but don't be a scumbag and disrespect others who disagree with you.

Address my questions and leave my education or lack of, out of it. It will show much maturity on your end.
 
Labda Marekani Si Tanzania... Tena Wa mama Wa Huku wanakuambia Unamkosi mbona Huolewiii
 
Labda Marekani Si Tanzania... Tena Wa mama Wa Huku wanakuambia Unamkosi mbona Huolewiii
Dhana hiyo inatokana na mfumodume uliomfanya mwanamke kuwa mtegemezi wa mwanamme.

Kwa nini isiwe kwamba mwanamme atakayemuoa mwanamke aliyechelewa kuolewa kwa sababu aliweka nguvu katika kumaliza Ph.D yake kuwa ndiye mwenye bahati?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…