Single LADIES and LADS. . .

Dr Lizzy

Platinum Member
Joined
May 25, 2009
Posts
31,009
Reaction score
60,629
Una mpango wa kuoa/kuolewa?

Kama jibu ni HAPANA . . kwanini?
Kama ni NDIO. . . je ni VIGEZO gani ambavyo vikifikiwa na mkaka/mdada utashawishika/penda kuingia ndoani?
Na ni MASHARTI (usichukulie neno masharti kwa uzito wake, namaanisha vitu ambavyo ni muhimu kuzingatiwa) gani ambayo yakizingatiwa unaamini ndoa yako itadumu?
 
Unanitega..................................
 
Lizzy ningefurahi kweli nikisia wewe uko upande gani katika hili... (if you don't mind)

Unanitega..................................

mi jibu ni ndio kuna lingine?
Dah!! Watu wako very sensitive kweli...lol..mbona hamjajibu mada husika...halafu Smile tokea lini watu wakajibu tu NDIO.. i guess you're more clever than just saying..NDIO....I mean weka explanation kidogo maana ukisema tu NDIO...Je kama kuna mtu anakusubiria atajuaje?...Lol
 
Lizzy - Inaonekana upo "Njia Panda"!

Kama walio kwenye ndoa wangepewa "second chance", wengi wao wangechagua kuoa/kuolewa na mtu mwingine tofauti!

Kama ilivyoandikwa ..." Marriage happens by CHANCE NOT by CHOICE ...."!
 
kama nini sijaweka kaka?
 
Lizzy - Inaonekana upo "Njia Panda"!

Kama walio kwenye ndoa wangepewa "second chance", wengi wao wangechagua kuoa/kuolewa na mtu mwingine tofauti!

Kama ilivyoandikwa ..." Marriage happens by CHANCE NOT CHOICE ...."!

Baba E i'm just curious. Nataka nione kama vigezo vyetu vinalandana, kama vya wadada na vya wakaka vikowekwa pamoja vinaweza vikajenga ndoa zilizosimama kweli au la.

Hehehehe hiyo ya wengi kuoa/olewa na wengine ipo, niliwahi kuanzisha thread sema wengi hapa walionyesha kuridhishwa na wenzi walionao.
 
Lizzy mamii Happy new year kipenzi.
Umesema hairuhusiwi kusema napita?? haya mie nachungulia tu mamii.
 
PA.. i would be really worried kama umesahau kua ni married woman....... Hapa ilitakiwa nisiingie kabisa, ila my curiosity could not over come my not posting kujua yeye Lizzy yupo upande gani....
 
potezea!!!
teh teh teh unadhani tf anataka kuja anga zangu eeeh? Siwezi kukufanyia ivo najua ilo ndo last hope kwako nimekuachia mi napendwa na wengi
 
PA.. i would be really worried kama umesahau kua ni married woman....... Hapa ilitakiwa nisiingie kabisa, ila my curiosity could not over come my not posting kujua yeye Lizzy yupo upande gani....
For the benefit of others could you tells us what were the qualities which took you by storm and made you say "I DO" to him...lol
 
For the benefit of others could you tells us what were the qualities which took you by storm and made you say "I DO" to him...lol

Fynest embu kua "Single Lad" wa kwanza kufunguka.
 
Lizzy this is what i have to say for the moment...It should be equal partnership, Basically what counts at the end of the day is someone you get along with most of the time and that is for both sexes. Initial attraction may be looks but what keeps people coming back is personality. Don't try being something you're not, remember you'd to keep it up for the rest of you life
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…