Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lizzy this is what i have to say for the moment...It should be equal partnership, Basically what counts at the end of the day is someone you get along with most of the time and that is for both sexes. Initial attraction may be looks but what keeps people coming back is personality. Don't try being something you're not, remember you'd to keep it up for the rest of you life
mmmh vigezocheki juu hapo tuko pamoja hapo?
NA WEWE JE (if you don't mind)Lizzy ningefurahi kweli nikisia wewe uko upande gani katika hili... (if you don't mind)
Naam...hivi ndivyo inavyotakiwa kufunguka...:eyebrows:....mmmh vigezo
1.awe na miaka 30 na kuendelea
2.watoto max 2 maana nimeona vijana wengi wana watoto sana siku hz
3.awe mkristo-lutheranor rc walokole sitaki au sda
4.awe na maisha ya kueleweka kazi biashara yaani awe na source ya income iwe low,medium or high yeyote
5.awe na mvuto bana
6.awe na upendo wa kufa na kuoza juu yangu anichukulie nilivo sipendi kuongea saana sipendi ugomvi wala kuonewa
7.simu yake ni yangu na yangu ni yake niiwe free na simu yake na asimaind
8.awe na busara,mpole asiwe anaongea sana bila sababu labda awe ananipa story za kunifurahisha sipendi makelele
9.awe na akili ya maisha i mean aweze kusimama kama baba kwenye familia awe ni mtu mwenye uwezo wa kutoa maamuzi hata kama ni magumu-asiwe mwoga
10-awe na uwezo wa kuniprotect na mambo yote,maadui,magonjwa
11 awe ma best friend the one i can count on evertything sio nakuja kukopa chakula ofsin wakati nimefulia kwa bahati mbayawhile nina mume ndani nina mume ndani
12 tushee kila kitu kwa shida na raha
13 asipende sex saaana mi kila siku siwezi besides siolewi kwa ajili iyo tu at lesat mara 2/3 kwa wk especially wkend
14 badae nitakupm
Jibu: ndio
Sababu: HE IS EVERY WOMAN'S DREAM MAN
Hiyo "bado nipo nipo" ni permanent?
mmmh vigezo

Mi nilishaoa, lakini tabia kubwa niliyokua naiangalia kutoka kwa niliyemuoa ni ule ustahimilivu wake kuwa nami pamoja na tabia yangu ya kupenda kuendesha mambo kwa "mfumo dume".Una mpango wa kuoa/kuolewa?
Kama jibu ni HAPANA . . kwanini?
Kama ni NDIO. . . je ni VIGEZO gani ambavyo vikifikiwa na mkaka/mdada utashawishika/penda kuingia ndoani?
Na ni MASHARTI (usichukulie neno masharti kwa uzito wake, namaanisha vitu ambavyo ni muhimu kuzingatiwa) gani ambayo yakizingatiwa unaamini ndoa yako itadumu?
Mi nilishao, lakini tabia kubwa niliyokua naiangalia kutoka kwa niliyemuoa ule usatahimilivu wake kuwa nami pamoja na tabia yangu ya kupenda kuendesha mambo kwa "mfumo dume".
Hahaha!!! Haya mama okay naendelea sasa nazingatia MASHARTI na VIGEZOFynest don't make this about me bana. Zingatia vigezo na masharti ya mtihani, though I do agree with you.
umeniridhika bado vingine list inaendeleaNaam...hivi ndivyo inavyotakiwa kufunguka...:eyebrows:....
Hahaha!!! Haya mama okay naendelea sasa nazingatia MASHARTI na VIGEZO
Genuine Goodness....Is something drawn from the heart, the soul of a person, the authentic goodness is shown in actions, more than pretty words when we live a life of authenticity, our spirits soar and we give flight to those around[FONT=arial, helvetica, clean, sans-serif].
[/FONT]
Glad to hear that.
So are you a fine lad?
Ongeza naona vingine bado unavyo haujavimalizia..:eyebrows:umeniridhika bado vingine list inaendelea
Lol...narudi kumaliziaAnd that's about it. . . . . ?