...mnh, naona for worse imezidi mlingano wa uzito!...
Lizzy wewe una encyclopedia ya mambo haya, worry you not!
I see. . .Mimi kwa sasa sina mpango sababu bado nahisi kua najitosheleza emotionaly, sihitaji complement.
Bado najigundua mwenyewe, alafu baadae nitajaribu kuona mtu gani atanifaa (if ever)
Duh, kazi ipo?? Kusema ukweli,nilikuwa naweka vigezo,tatizo langu naweza kukutana na mtu hana hata kigezo kimoja nilichoweka na nikampenda vibaya mno.....!! Ngoja nifike 30 ndo akili itakuwa hasa inajua ielekee upande upi....dearest, just curious,why???
Nashangaa watu wanakimbilia, kumbe wanakimbilia mlango wa kutoka, sio wa kuingia. Kumbe na wewe una mapacha aliuzwa? tukumbushane besdei usikute na sisi ni kulwa na doto kama Afrodenzi na Lizzy. lolUtakuwa pacha wangu uliyeuzwa na nesi...niliambiwa hivyo...lol....mi pia nafikiri niko kwenye umri wa kujigundua nataka mume wa namna gani huko mbeleni.....!!
Yeahhh inalemea kwakweli.
Ila unaweza ukajikuta unafanikiwa kupata yenye balance nzuri tu.
Hahahaha. . .Mbu usinidanganye mtoto wa watu. Theoretically naweza nikafanikiwa ila practically, pachungu hapo.
I see. . .
Pure curiosity dearest. . .
Siunajua ukitaka dhahabu lazima uchimbe sana.
Nashangaa watu wanakimbilia, kumbe wanakimbilia mlango wa kutoka, sio wa kuingia. Kumbe na wewe una mapacha aliuzwa? tukumbushane besdei usikute na sisi ni kulwa na doto kama Afrodenzi na Lizzy. lol
Ok dearest, keep it up...i see a lot of similarities and differences here(of the types/qualities of partners we prefer), which is good! Am learning and waiting to see yours!
Mkuu, lbd kama neno mlokole limepata maana nyingine mpya! Vinginevyo huwezi kupata sifa hata moja kati ya hizo ulizoelezea hapo kwa mlokole. Jiulize walokole wamekuwepo miaka na miaka lkn hakukuwa na hivyo vichekesho ulivyoweka hapo. Halafu ni funny kweli kuwa mtu anatanguliza kabisa kuwa hataki mlokole lakini hataji mshirikina ambao wamejaa wala mlevi!!! Kama maana ya mlokole haijabadilika nitaiweka ya kwanza kabla ya sifa nyingine yoyote! Maana mcha Mungu wa kweli ndiye mlokole hasa...Dada lizzy ulokole wana imani za ajabu anaweza akarudi nyumbani ghafla akasema kupika ni kufuga mapepo si unajua makanisa yana mengi siku hizi, au ghafla akapotea kwenda porini kumpokea mwokozi, nazani ulisikia yale ya airport watu walioenda kutaka kusafiri kwenda kuhubiri injili bila ticket wala viza,
Kuhusu interest zake as long as we are friends nitashare na zake, but ziwe na respect to manhood, i like to have fun and being happy so kila jambo linalotupa furaha wote, i mean mutual benefits nitajoin but isiwe kucheza taarabu...
Mbu malengo yangu hayawezi kunifikisha popote kwenye hiyo taasisi ikiwa ya mwenzangu yatakua hayaendani na yangu.
...vitu ambavyo ni muhimu kuzingatiwa...
...pheeewww, mpoakja sasa tunazungumza lugha moja...Lizzy, mnh! "Gentleman" anabahati kweli :A S-coffee:...
malengo yako, malengo yake na makubaliano yenu....ukiondoa moja hapo utajua sababu yangu yakuikimbia
taasisi hii kwa sasa...
Hehehe mimi mbona nilishafunguka kwa Gentleman dearest? Au unaongelea kama napanga au la?
Hahahaha. . . if only that was the reality dearest. . . ningemsainisha hata cheti kwa bunduki.LolzzHe he he he, eti nilikuwa nimesahau....ukishapenda vile ni ngumu kuwa hupangi....mipango utakuwa nayo and i can't wait for it!!
Hahahaha. . . if only that was the reality dearest. . . ningemsainisha hata cheti kwa bunduki.Lolzz
Kiukweli dearest SIPANGI.
For one simple reason, sijui kama ntampata Gentleman huku uraiani. Kwahiyo bora nisipange ili asipopatikana niendelee kama kawa, badala ya kupanga baadae na mimi niwe wale wanaoingia kwasababu tu ipo kwenye 'MUST do list'.
Lol, make it the reality...umeshindwa wapi dearest??
Ma- gentleman wapo ila ni wachache sana na wengi kuwapata yahitaji u-date kama kumi hivi kupata mmoja...date with no strings...no sex hadi muamue kuwa pamoja!!
Usipange kutokuingia, kumpata mwenzi ni kitu kinakuja chenyewe usipotarajia,kwahiyo kama unavyoishi sasa endelea hivyo hivyo,akitokea sawa,asipotokea pia sawa maisha yanaendelea...kosa tunalofanyaga ni kuona hakuna maisha bila ndoa,na hili ndo linafanya watu wanakosa raha au kuwa desperate sana mpaka huruma....Ndoa is not a must,binafsi zaidi ya ile tu nataka watoto na ningependa watunzwe na baba yao pia,sidhani kama naona sana maana ya kuishi na mwanaume ndani...ni kazi sana,na hivi nimezoea kuwa huru na kuishi nitakavyo,naona kama ndoa itakuwa kikwazo kwangu na kubadilika sitaki....lol
Hehehhee kissing frogs ain't easy dearest. . . inabidi nikuombe ujasiri wako nichanganye na wangu.Lolzz
Uko sawia kabisa dearest. . . Motto yangu ni "Usipange wala usipangue haya mambo." That way ikitokea au isipotokea yote sawa, no dissapointments.
Hahahahaha. . . . waogopa kupoteza uhuru weye? Mi mwenyewe napenda uhuru wangu ila nadhani ukimpata yule haswa hata huo muda utakaokua wako mwenyewe utatamani muutumie pamoja. Tatizo litakuwepo pale utakapokua na mtu ambae sie hivyo hufurahii sana kuwa karibu nae japo waweza jidanganya/tamani iwe hivyo, zaidi ya hapo ni full starehe.
he he he he, ujasiri wangu kidogo nimekupa Lizzy, unachotakiwa kufanya ni kuchunguza if that frog is available, we are not home breaker's....ukishajua,then unamsoma kidogo then tumia ujasiri wangu na wako combined kufikia lengo....lolest!!
Usimwambie unampenda,aseme kwanza,then usimfanye yeye kuwa kila kitu,jipende wewe zaidi na kuwa tayari na lolote,if he doesn't feel the same,its not the end of the road....the journey continues....lol
Uhuru naupenda,sasa nikiangalia, hata ule uhuru wa kulala mwenyewe sina,napata shida sana....yaani natamani sijui awe mwelewa vipi, awe kama mimi, aelewe siku sijisikii kuamka kupika chai, kuweka maji bafuni,kupasi,kufanya usafi,ku-make love,yaani aelewe tu na aniache nikatembee zangu siku nikitaka na nimtembelee yeyote tu....sipendi vikwazo...dissapointment ni jinsi unavyoamua kuona jambo,mi siku hizi najichekea tu,kitu hakiendi kama nilivyopanga nasema the best is yet to come,i keep my head up high and life goes on happily ever after...lol