Single Ladies' Evening - Benjamin Tower

Single Ladies' Evening - Benjamin Tower

Last week kulikuwa hii event ya single ladies pale Posta. Sikuweza enda kwa kwa sababu sikupata special invitation, ni lazima uwe nayo ndio uingie. Ni jamaa wa jamaa yangu alipata fursa ya kwenda, ila sikupata mrejesho.
Kuna yoyote aliweza kwenda? (hunter + huntress)
Na hii ya kupata rafiki/mchumba kwa hapa JF ina mafanikio yoyote?
Kma ina mafanikio, natafuta single lady.
Naona niliyenae tunapotezeana time tu.
Mnapotezeana Time baada ya kumlabua vya kutosha.
 
Last week kulikuwa hii event ya single ladies pale Posta. Sikuweza enda kwa kwa sababu sikupata special invitation, ni lazima uwe nayo ndio uingie. Ni jamaa wa jamaa yangu alipata fursa ya kwenda, ila sikupata mrejesho.
Kuna yoyote aliweza kwenda? (hunter + huntress)
Na hii ya kupata rafiki/mchumba kwa hapa JF ina mafanikio yoyote?
Kma ina mafanikio, natafuta single lady.
Naona niliyenae tunapotezeana time tu.
Kwhyo unayemuhitaji cyo wa kuishi naye! Ufafanuzi kidogo
 
Back
Top Bottom