Single Ladies

Siku hizi wanawake nao wana bet, shida ndiyo ipo hapo.

Unakuta mwanaume unabet umeset mkeka wako fresh.

Demu unae mbet naye amebet na kaweka odds za juu kinyama

Hapo lazima mkeka uchanike , wanawake acheni kubet ndoa. Nyie jisetini fresh tupeni na fasi ya loose to win situation basi..

Ndoa itakua tamu sana

Sasa mkitoa nafasi ya win- win , hapo lazima ndoa ikoroge.

Ni heri wote mkawa looser ili mu win ndoa

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Upo chuo mwaka wa ngapi, manake hii comment inaonyesha upo chuo mkuu. Unatafuta future kingono?

Mkuu njoo chukua join instruction! Unaonekana umepangwa old Moshi au Moshi tech!
Concept yangu ilikua rahisi tu kwamba kwa mazingira ya saiv ukiwa serious sana utaumia kikubwa ukiwa kwenye mahusiano we waza ngono tu mawazo ya future achana nayo
 
Yaani unahitaji kuoa unatafuta mke uwaze ngono kweli mkuu? Kweli tunatofautiana mkuu.
 
Watu wanakimbilia ndoa bila utayari wanajua kuna raha km za uchumba, inatakiwa kumshirikisha Mungu sana kwenye maamuzi lasivyo unajibebea furushi lako la misumari [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Chizi Kama chizi😂🤣, machizi wakikutana ni team mirembe 🔥🔥🔥
 
Ndoa is "sweet-bitter", yani unapata kila kitu kwenye ndoa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…