Single Ladies

Single Ladies

Tatizo w.ke wa siku hizi mnataka wenye majumba,magari n.k sasa mm kijana wa 20's hyo yote nitayapta wapi?
Munawapoteza wenye upendo wa kweli kwa tamaa zenu tu

Mm ni mpole inshort sipendi malumbano kabisaaaa na m.ke sasa m.ke akijikuta mjuaji unamuacha tu wala hugeuki nyuma

Mpende aliyekupenda usije kumtenda

Akupendae mpendee weee mpe maneno tamuuu
Akuwidhae muwidhe weee mpe maneno tamuuu
Usijigeuze mende wee ukajikausha damuuu
Akupendae mpendee weee mpe maneno tamuuu
Mkuu haya majumba na magari, ndiyo maisha ya sasa. Apende nini kwako sasa. Huku ni kujidanganya kiongozi. Kila mtu na parameter zake. Apende umaskini wako, wewe mwenyewe huupendi.

Nyakati zinadictate tofauti sana kiongozi.
 
Sawaaa umesikika
 
pambana nayo tu, lazima yawe magumu haswa kwa wenye malengo
Ukiwa na malengo maisha magumu sana aisee asikwambie mtu aisee. Natazama ambao hawana malengo wanaishi maisha mepesi sana, na ya furaha. Maana wao akila akiwa na Elfu kumi, humwambii kwenda kufanya KAZI tena.
 
Back
Top Bottom