Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Dah USI ki judge kitabu kwa kava yake ya nje, mi ni mult purpose😂🤣Sitaki, nimeona unachofanya kwa Aaliyah😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah USI ki judge kitabu kwa kava yake ya nje, mi ni mult purpose😂🤣Sitaki, nimeona unachofanya kwa Aaliyah😂😂
Shikamoo shemeji🤣😂😂Hapana kijana Aaliyah simnyatii kabisaaaa ni cster wangu uyo
Hhhhhhhh m bado bado kijana nipo katika kujitafuta Intelligent businessmanShikamoo shemeji[emoji1787][emoji23][emoji23]
Shida umasikini una tufukuzia na Ferrari Huku SI tuna tembea😂🤣ndo ivo mkuu, pambana uukimbie umasikini
We SI Kaka ake na Aaliyyah, so lazima nikuute shemeji🤣😂Hhhhhhhh m bado bado kijana nipo katika kujitafuta Intelligent businessman
sio kila mtu ana kifua cha kukubali ukweli, amini tu kwamba uijaribu utaweza😅Shida umasikini una tufukuzia na Ferrari Huku SI tuna tembea😂🤣
Motivation bhana, utasikia imani huamisha milima 🤣😂😂sio kila mtu ana kifua cha kukubali ukweli, amini tu kwamba uijaribu utaweza😅
I mean no malice to nobody 🤗Say no malice to no body
tulia bana, utanifanya nianze kuongelea siasa😅Motivation bhana, utasikia imani huamisha milima 🤣😂😂
Kweli alikua wanguuu lakini sasa sinaeI mean no malice to nobody [emoji847]
Kwenda huko🚮😂Dah USI ki judge kitabu kwa kava yake ya nje, mi ni mult purpose😂🤣
Mkuu haya majumba na magari, ndiyo maisha ya sasa. Apende nini kwako sasa. Huku ni kujidanganya kiongozi. Kila mtu na parameter zake. Apende umaskini wako, wewe mwenyewe huupendi.Tatizo w.ke wa siku hizi mnataka wenye majumba,magari n.k sasa mm kijana wa 20's hyo yote nitayapta wapi?
Munawapoteza wenye upendo wa kweli kwa tamaa zenu tu
Mm ni mpole inshort sipendi malumbano kabisaaaa na m.ke sasa m.ke akijikuta mjuaji unamuacha tu wala hugeuki nyuma
Mpende aliyekupenda usije kumtenda
Akupendae mpendee weee mpe maneno tamuuu
Akuwidhae muwidhe weee mpe maneno tamuuu
Usijigeuze mende wee ukajikausha damuuu
Akupendae mpendee weee mpe maneno tamuuu
Wewe kuja tu, Niko vizuri Kama Adam Smith na Sera zake za uchumi😂🤣tulia bana, utanifanya nianze kuongelea siasa😅
Sawaaa umesikikaMkuu haya majumba na magari, ndiyo maisha ya sasa. Apende nini kwako sasa. Huku ni kujidanganya kiongozi. Kila mtu na parameter zake. Apende umaskini wako, wewe mwenyewe huupendi.
Nyakati zinadictate tofauti sana kiongozi.
Ukiwa na malengo maisha magumu sana aisee asikwambie mtu aisee. Natazama ambao hawana malengo wanaishi maisha mepesi sana, na ya furaha. Maana wao akila akiwa na Elfu kumi, humwambii kwenda kufanya KAZI tena.pambana nayo tu, lazima yawe magumu haswa kwa wenye malengo
Una lipsi ka bigbom nyekundu😂🤣🤣Kwenda huko🚮😂
[emoji23][emoji23][emoji23]Sawaaa umesikika
Ndio tumefikia huku jamani😂😂😂Una lipsi ka bigbom nyekundu😂🤣🤣
Ngozi Kama chapati za mayai😜😂🤣Ndio tumefikia huku jamani😂😂😂