Single Ladies

Vijana wa Sasa mje mchukue notes za ndoa kwa sisi Wazee wenu.

Sisi hatukuwa wajinga kabla hatujafika nyumbani kumtuma Mtoto apeleke Koti nyumbani.

Nyie endeleeni kununua apps za simu kumtrack Mumeo/Mkeo muone kama mtafika miaka 5,10,30 ya ndoa mkiwa pamoja
 
Haya maisha ni dendritic pattern. Hayana kanuni Moja na hayana unyofu kabisa. Unaweza ukaIngatia misingi uliyotaja hapo juu Kwa kiwango Cha lami lakini bado ndoa ikayumba kabisaa na mkawa maadui forever.
 
Hayanaga muongozo tunajua ila kufanya Kosa ambalo unajua ni Kosa ni mbaya zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…