Kwanza naomba kuuliza ivi watu wanaotafuta wenza humu mnawapata kweli? Leten mirejesho tujue maana mtu akipost kutafuta mwenza naona comment ni za kukatisha tamaa haswa ma single mama Kwan mtu kuzaa ni kosa la jinai au nin?
Nyie wanaume inamaana wote humu hamna watoto mliotelekeza huko?
Single mama wanaoolewa mungu awasimamie na mnaotafuta pia mungu ataonyesha njia
Toa vigezo vya yule unayemtaka tu upate chako faster. Fanya yako. Hao wengine mablack commenters nao wanafanya yao.Hii ndio Radha ya Dunia,katikati ya miiba hupatikana nanasi. Sauti za vyura ni mziki wa kumsindikiza twiga kunywa maji!